Uchaguzi 2020 Lissu majibu umeanza kuyapata, unaonaje mahudhurio hapa Kanda ya Kaskazini?

CCM :Arusha wamsusia TAL

CDM :mafuriko ya watu Arusha hapatoshi ni mkanyagano tu.

#CCM wamekuwa Co worker na CDM tangu lini hadi wafike hatua ya kuwa wasenajli wa CDM?

Enyi makada wa CCM mmekosa kazi kwa Chama chenu? Kwa nini kila uchwao mnalipoti habari zisizo wahusu?

Mnapaswa mtulie maana 2020 Ni Yeye Yule

Mtaharisha sana 2020
 
Huo ni Congo wa kijinga video zipo
 
Ukweli umati unaompokea TAL kote anapokanyaga unfashionable shughuli ya CCM kubaki madafakaninitabidi iwe zaidi ya bao la mkono
 
Mafurikoo ya Lipumba yameonyeshwa kwenye TV zote kwa mapana take kwa sababu hayana efect yoyote kwa CCM.."Ni dawa TU mwanamke anaweza kuwa Amekaa loose sehemu kajiachia TU hata nguo ya ndani inaonekana,Watoto wakipita karibu Nate,WALA hajali..kwa Bahati tu, akiingia mbaba yeyote eneo Hilo utaona Hiyo mwanamke atakavyokuwa akihangaika kujifunika maana anajua Fine limeingia..Lipumba Ni mtoto TU kwa CCM(Haimuogopi)..Tindu Lisu Ni Dume..(akiwa Around CCM Wanahangaika kujifunika)
thetallest,
Ndio maana TV hazionyeshi au siyo? Mafuriko ya jana ya Lipumba si umeona TV zote wameonyesha?
 
Jipya ni kujenga uwanja wa ndege chato bila idhini ya Bunge.
Ni kweli kwake ni jipya maana wakati mwenzie anajenga nchi ukiwemo huo uwanja, yeye kamaliza matibabu anazunguka Kwa mabeberu kumchafua JPM na nchi Kwa ujumla halafu bila soni anarudi kuomba urais kwa walewale aliowachafua na wenye akili za kushikiwa wanamshangilia
 

Narudia tena maana sioni hata kama unajua unaloongea, kama mtu hatakiwi, kupigwa mawe tena mbele ya polisi ndio namna ya kumkataa mtu? Na ni kwanini huo mchezo wa kupiga mawe iwe Hai tu, tena hayo yawe mbele ya polisi? Hivyo vijimaneno vya kiingereza sijui infact mara sense, vinakufanya uonekane juha fulani unayedhani uhalifu ndio siasa.
 
Lipumba Na Lyatonga wao hawana shida na CCM au na KERO yoyote ya waTanzania! Wao wanachumia matumbo yao tuu basi
Kwani lipumba anahangaika na magufuli?
Yey anahngaika kuonyesha utofauti anaweza kufanya nini.
 
Mchafu hachafuliwi bali kumpa sifa ya uchafu wake.
Magufuli hafai hafai ni mnafiki mkubwa.
Utauaje raia wako?
Kama hajaua mbona hakukerwa na mauaji ya wapinzani au watu kutupwa kwenye viroba?
 
watu wasome coment huko istagram kwa post za kumbusho za Lissu ndio utajua watu wameshanza kumchoka
Mbona anaongea utoto, sasa kwa sababu sio wa kwanza kwa hiyo visifanyike??
Yaani kawafanya wanaomsikiliza ni wajinga, kwa kusikiliza pointi za kijinga, huyu muongeaji atakuwa ni " mjinga"
 

Hayo kamfundishe Jiwe wenu atokwe na ushamba aongoze nchi kistaraabu.

TL hahitaji tuition yako ya kilevi. Kawaambie TISS wajiandae kupambana na wenzao wanaojua kazi. Mbona wajuzi wameingia na kutapakaa nchi nzima bika wao kujua?

Hawaendeshi mambo kijinga na kizamani kama wao. Wako mbele yao miaka 100. Wajaribu waone mechi zinavyochezwa.

Au wanafikiri watu wamekurupuka kww haya wanayoyaona? Hatuendi kwa kufuata upepo. Hatupangi kwa kutegemea wingi wa watu unaowaona. Hiyo ni akili ya chekechea.

Fuatilia utajionea. Time out!
 
Pumba tupu............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…