Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni Congo wa kijinga video zipoSiku anatafuta wadhamini kule kahama ilikuwa ni vituko watu wachache sana walijitokeza nami nilikuwa miongoni kwa huo msafara,na boda boda waliojitokeza ni wale waliojaziwa mafuta Lita mbili ili kuongeza hamasa
Nilisiktika sana kuona huyu mtu eti mabeberu wanamtegemea kuwa atashinda urais,na kama fadhira kwao raslimali zetu zichumwe na wao
Kiufupi huyu mtu anahitaji huruma kubwa sana
Jipya ni kujenga uwanja wa ndege chato bila idhini ya Bunge.Hata kwenye hiyo kampeni hana jipya
Mwendawazimu ni aliyekuleta dunianiLissu mwendawazimu tu
Hivi uongo utawafikisha wapi nyie nguruwe? Haya, Kahama hiyooo!Mwanza hatuna shida naye kabisa msaliti mkubwa huyo. Hata Kahama ameabika tu!
Ukweli umati unaompokea TAL kote anapokanyaga unfashionable shughuli ya CCM kubaki madafakaninitabidi iwe zaidi ya bao la mkonoNikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.
Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .
Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.
Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.
Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .
Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .
Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
thetallest,
Ndio maana TV hazionyeshi au siyo? Mafuriko ya jana ya Lipumba si umeona TV zote wameonyesha?
Ni kweli kwake ni jipya maana wakati mwenzie anajenga nchi ukiwemo huo uwanja, yeye kamaliza matibabu anazunguka Kwa mabeberu kumchafua JPM na nchi Kwa ujumla halafu bila soni anarudi kuomba urais kwa walewale aliowachafua na wenye akili za kushikiwa wanamshangiliaJipya ni kujenga uwanja wa ndege chato bila idhini ya Bunge.
hata ingekua in sense kwamba watu wametumwa haiwezi kua hai nzima, ulikuepo eneo la tukio? kama hukuepo uliza yoyote aliekuepo atakwambia , infact sio mara ya kwanza! mbowe yalishamkuta na wananchi wakahojiwa wakasema wamechoka siasa za cdm! kwanza mnasifia msafara wakati ulikua wa kitoto kabisa, yaani ukiachana na hao boda mliowapa 5000 ya mafuta hakuna msafara pale, infact hata boda walikua hawana vibe ni basi tu nan hataki ela
Kwani lipumba anahangaika na magufuli?
Yey anahngaika kuonyesha utofauti anaweza kufanya nini.
Mchafu hachafuliwi bali kumpa sifa ya uchafu wake.Ni kweli kwake ni jipya maana wakati mwenzie anajenga nchi ukiwemo huo uwanja, yeye kamaliza matibabu anazunguka Kwa mabeberu kumchafua JPM na nchi Kwa ujumla halafu bila soni anarudi kuomba urais kwa walewale aliowachafua na wenye akili za kushikiwa wanamshangilia
watu wasome coment huko istagram kwa post za kumbusho za Lissu ndio utajua watu wameshanza kumchoka
Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.
Ulichaguliwa na chama chako kupeperusha bendera ya chama chako katika kuwania urais wa Jamuhuri ya Muuungano wa Tanzania .
Ulipoenda Dodoma kuchukua form ofisi za tume uliona jinsi mapokezi yalivyokua hafifu. Ulitegemea bodaboda zijaze msafara lakini ilishindikana.
Kadhalika Mwanza, na sasa Arusha umejionea mwenendo halisi wewe mwenyewe.
Hiki ni kiashiria tosha umechokwa kwa maneno yako ya hovyohovyo ya kila mara .
Jielekeze kwenye utatuzi wa kero za wananchi kwa ujumla utakapopewa ridhaa maana umekwisha anza kampeni kabla ya muda, na si personal attacks kwa Magufuli, hazitakusaidia hata kidogo kupata angalau ya asilimia 10% ya kura zote za urais nchini .
Mpaka sasa unaasilimia ndogo sana ya kura za huruma tu. Leo Arusha jibu umelipata, viti havina watu, kazi kwako!
Huoni kama yeye amekwisha anza kampeni?
Hata MAGUFULI naye Ashaanza kampeni, tena zake zimeambatana na rushwa, au hukumuona akinunua jogoo kwa laki moja kule kusini??
Sawa hata Magu ameanza kampeni miaka mitano sasa na bado anaendeleaHuoni kama yeye amekwisha anza kampeni?
Pumba tupu............Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo.