Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?

Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..

Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁

Haya kiko wapi?!!
 
Attachments

  • IMG_2181.jpeg
    IMG_2181.jpeg
    725.6 KB · Views: 3
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Maridhiano hayakuwekwa kwa ajili ya yenu, kuna vyama zaidi ya 15 vitashiriki mchakato huu na mambo yatakwenda vizuri kabisa bila yenu.

Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna, kama ni wakubwa kweli, CCM isingeshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa asilimia zaidi ya 98%.

Kama ni wakubwa kweli msingeshindwa kusimamisha wagombea chini ya asilimia 30% ya mitaa na vijiji vyote nchini.

Chama chenu ni kidogo sana, mnadanganywa na likes na RTs mtandaoni na kujipa ukubwa ambao hamna.

Dawa yetu tunayo, 2025 ndio mwisho wa jeuri yenu, lazima tuwakate midomo.
 
Jibu murua uzi ufungwe.
Hahaha jibu murua kwako.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!..
 
Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna
Mkuu,

Hakuna kujipa ukubwa kwa mwananchi yeyote kutumia uhuru wake wa kikatiba na kibinadamu kueleza maoni yake kuhusu nchi iendeje.

Huyo mtu hajajipa ukubwa, hiyo ni haki yake ya kikatiba na kibinadamu tu. Kaitumia tu.

Ni kama mtu ana hela zake benki kaamua kuzitumia, unamwambia anatumia hela zisizo zake.

Kutoa maoni tu hakuwezi kuwa kujipa ukubwa. Tatizo hapa si Lissu kujipa ukubwa, tatizo ni Watanzania wengi kujidogosha.

Mtu akishika mtutu na kulazimisha nchi iende anavyotaka yeye, hapo unaweza kusema huyo kajipa ukubwa. Analazimisha nchi iende anavyotaka yeye kwa mtutu.

Lakini kutoa maoni tu? Kama watu wanaona maoni yake hayafai si watampotezea tu na kuiacha "the marketplace of ideas" iamue maoni gani yatekelezwe kwa vitendo, na maoni gani yatupwe kwenye jaa la historia?

Mbona hizi ni haki za msingi kabisa za kikatiba na kibinadamu, mtu akizitumia tu, kwa vioe hamzijui au mnazidharau, mnasema kajipa ukubwa.

Tatizo liko wapi?
 
Maridhiano hayakuwekwa kwa ajili ya yenu, kuna vyama zaidi ya 15 vitashiriki mchakato huu na mambo yatakwenda vizuri kabisa bila yenu.

Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna, kama ni wakubwa kweli, CCM isingeshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa asilimia zaidi ya 98%.

Kama ni wakubwa kweli msingeshindwa kusimamisha wagombea chini ya asilimia 30% ya mitaa na vijiji vyote nchini.

Chama chenu ni kidogo sana, mnadanganywa na likes na RTs mtandaoni na kujipa ukubwa ambao hamna.

Dawa yetu tunayo, 2025 ndio mwisho wa jeuri yenu, lazima tuwakate midomo.
No reform no election, Shika hii sentensi.
 
Mkuu,

Hakuna kujipa ukubwa kwa mwananchi yeyote kutumia uhuru wake wa kikatiba kueleza maoni yake kuhusu nchi iendeje.

Kutoa maoni tu hakuwezi kujipa ukubwa. Tatizo hapa si Lissu kujioa ukubwa, tatizo ni Watanzania wengi kujidogosha.

Mtu akishika mtutu na kulqzimisha nchi iende anavyotaka yeye, hapo unaweza kusema huyo kajipa ukubwa.

Lakini kutoa maoni tu? Kama watu wanaona maoni yake hayafai si watampotezea tu na kuiacha "the marketplace of ideas" iamue.

Mbona hizi ni haki za msingi kabisa za kikatiba na kibinadamu, mtu akizitumia tu, kwa vioe hamzijui au mnazidharau, mnasema kajipa ukubwa.

Tatizo liko wapi?
TUWAKUMBUSHE

Tume ilizunguka kuchukua maoni na Chadema wakasusa wakaandamana na kuandika barua mpaka UN kupinga na ilikuwa ni haki yao kwa kuwa kupinga ni kawaida yao!..

Sasa ni hivi miswada minne ya uchaguzi ilishapita kwenye mchakato na bunge likamaliza kazi yake na sasa ni sheria rasmi, sheria hizo ni kama ifuatavyo;

⚫️Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba moja ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba mbili ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa namba tatu ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya sheria mbalimbali namba nne ya mwaka 2024.

Sijajua wanataka marekebisho gani? Kama hawakujipanga na uchaguzi waambieni watu wao.
 
usilaumu bila kujua mkuu, hawajasema hawashiriki uchaguzi isipokuwa hautakuwepo endapo reforms hazijafanywa

Ndo mana ,utakumbuka mwenyekiti alisema Bora usogezwe mbele
Msome huyu Bavicha.
 
Attachments

  • IMG_2181.jpeg
    IMG_2181.jpeg
    725.6 KB · Views: 3
Wanakumbi.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?

Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..

Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁

Haya kiko wapi?!!
kwema.Mwamba uliadimika sana kipindi cha mwendazake,nini kilitokea mkuu?
 
Wanakumbi.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?

Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..

Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁

Haya kiko wapi?!!
Maskini com kila wanavyojaribu kujikwamua kwenye makucha ya CHADEMA wanashindwa😂
 
TUWAKUMBUSHE

Tume ilizunguka kuchukua maoni na Chadema wakasusa wakaandamana na kuandika barua mpaka UN kupinga na ilikuwa ni haki yao kwa kuwa kupinga ni kawaida yao!..

Sasa ni hivi miswada minne ya uchaguzi ilishapita kwenye mchakato na bunge likamaliza kazi yake na sasa ni sheria rasmi, sheria hizo ni kama ifuatavyo;

⚫️Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba moja ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba mbili ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa namba tatu ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya sheria mbalimbali namba nne ya mwaka 2024.

Sijajua wanataka marekebisho gani? Kama hawakujipanga na uchaguzi waambieni watu wao.
Sheria zimepita lakini hilo bunge kuna wapinzani na wananchi wengi hawalitambui kuwa lina uhalali, halina uwakilishi.

Mwendazake alikaba mpaka penati akajikuta hana mpinzani bungeni atatiliwa vikwazo kimataifa ikabidi alazimishe mtu atolewe gerezani usiku kuja kuwa mbunge wa upinzani.

Tukapata wabunge wa upinzani 19 wa kituko bungeni, wabunge hawakutambuliwa na chama chao, ili kuwa mbunge inabidi uwe na chama, lakini hawa walikubalika bungeni bila ya kukubalika na chama chao.

Ina maana maigizo yote haya yanayoonesha bunge halina uhalali huyafahamu au unajitoa akili tu?
 
Unajibizana na huyu katoka Iraq juzi juzi, kaozeshwa kitoto cha miaka 9 atakusikia? Huyu miungu yake ni waarabu.
 
Wanakumbi.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?

Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..

Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁

Haya kiko wapi?!!
mtakuya povu ssfari hii
 
Leteni mikataba ya DP World bungeni kama mlivyoahidi.
 
Back
Top Bottom