Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wazi kuwa Mbowe kasusa kujihusisha na mambo ya UFIPA na kundi lake limejiweka pembeni likingojea kwa hamu sana anguko la uongozi wa Lissu, na chama chao kwa ujumla.Hii akiri ya kidwazi sana. Nini kinapelekea kuengua wagombea na kuwatisha. Kama ccm ni kubwa iwekwe tume huru na katiba huru then twende ground tukachaguliwe kwa haki uone kama ccm itashinda?.
MNAKERA SANA BROTHER NA HUO UCHAWA WENU
Ukitaka kujua maji yako shingoni mara baada ya kuchaguliwa wameanzisha kampeni kusukuma watu kulipia kadi za uanachana ambazo zimedumu siku 2-3 zimeyeyuka na kufa! Yaani mkusanye hela za kuendesha chama kwa kuuza kadi? Hivi nyie mko sawa kichwani kweli?We jamaa ni mweupe mno kichwani mwako, sometimes piga kimya kuficha ujinga wako machoni pa watu
Sasa kama chadema wanajipa ukubwa ambao hawana kwa nini kucha kutwa mnahangaika kuwajibu majukwaani
Hapa ni hakuna mabadilo, hakuna uchaguzi elewa neno hakuna madiliko hakuna uchaguzi , au kiswahili kigumu
Maana yake nyepesi ni kuwa kama hakutakuwa na mabadiliko wanayoyataka chadema basi wanachama wa chadema hawatajitokeza kupiga kura (aka elect) kwenye uchaguzi huo hata kama watakuwa wameweka wagombea wao.😂😂😂
Tuna uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba na kuna no reform no election, hayo mambo mawili hayaendi pamoja hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi sio hatutasusia uchaguzi" - Lissu
Wanakumbi.
Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?
Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..
Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁
Haya kiko wapi?!!
Ukitaka kujua maji yako shingoni mara baada ya kuchaguliwa wameanzisha kampeni kusukuma watu kulipia kadi za uanachana ambazo zimedumu siku 2-3 zimeyeyuka na kufa! Yaani mkusanye hela za kuendesha chama kwa kuuza kadi? Hivi nyie mko sawa kichwani kweli?
Lissu. amesema kuwa watafanya harakati kweli kweli!.. Nimeshangaa kwa kuwa mimi naelewa kuwa UFIPA ni chama cha siasa na kinafanya siasa sasa mambo ya harakati sijajua yanatoka wapi lakini inawezekana ni mwanzo mpya ya chama hiki kutumika kama jukwaa la kufanya harakati!.
Maushungi anasema wanaohoji kuwa anakopa fedha sana, kwani anakopa fedha za kununua sare za harusi?😛😛😛😛Mwenyekiti Tapeli😂
Inawezekana hatujui kiingereza na hatujui pia kiswahili cha No Reform No Election lakini kwa vyovyote vile hivi ni vichekesho vya mwaka. Nilisikia pia lissu, akisema wanakwena kufanya harakati kweli kweli ! Nikajiuliza kama UFIPA ni chama cha harakati au chama cha siasa?No reform no election, Shika hii sentensi.
Kichekesho ni siku Lissu. aliyokwenda kujikabidhi ofisi ( kwa kuwa Mbowe kasusa) alilamba matapishi yake na kusema kauli ya No Reform No Election siyo kususia uchaguzi na haziendi pamoja 🤣Maushungi anasema wanaohoji kuwa anakopa fedha sana, kwani anakopa fedha za kununua sare za harusi?😛😛😛😛
Kwenye siasa hakuna kitu hatari kama kuwa kigeugeu na kinyonga hasa inapokuja suala la kuaminisha wafuasi wake nyumbu kama walivyo wafuasi wengi wa UFIPA.Omba utafisiriwe, madhara ya shule za kata ni dhahili kwasasa. Acha ubishi