Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niiliwa sitaki kwenda huko unapotaka ngoja twende sawa.

Kwanini CHADEMA haijawahi kuwa na mwenyekiti muislamu?
Kuna sheria inasema chama lazima kiwe na mwenyekiti muislam? Uislam ndiyo dini pekee Tanzania? Udini wenu ni hatari
 
Yule mtoto wa Bavicha, anaitamani jela!.. atapata anachokitaka.
 
Kuna sheria inasema chama lazima kiwe na mwenyekiti muislam? Uislam ndiyo dini pekee Tanzania? Udini wenu ni hatari
Twende sasa😂😂 endelea kutoa ufafanuzi.
Kwa miaka 32 hawajawahi kuwa na kiongozi wa vijana muislamu. KKKT na RC wako serious sana.
 
Attachments

  • IMG_2317.jpeg
    IMG_2317.jpeg
    373.7 KB · Views: 2
Twende sasa😂😂 endelea kutoa ufafanuzi.
Kwa miaka 32 hawajawahi kuwa na kiongozi wa vijana muislamu. KKKT na RC wako serious sana.
Ndugu yangu mjahidina, kwani kuna sheria inasema vyama vya siasa ni lazima viwe na viongozi waislam? Huu ni ujinga wenu wajahidina mnaodhani Tanzania au duniani, dini pekee ni ukristo na uislam na dini nyingine hazina hadhi. Tanzania kuna wanaoabudu mizimu wengi tu peleka infreriority complex yako ya udini huko!
 
Wanakumbi.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?

Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..

Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁

Haya kiko wapi?!!
Ni wajinga tuu ndio wanawaamini Wanasiasa
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Maana yake ni kwamba, kama serikali ya ccm itang'ang'ania kuendelea na uchaguzi bila mabadiriko , utakuwa ni uchafuzi mwingine tena, hivyo huo hautaitwa uchaguzi bali uchafuzi.
Uchaguzi unatakiwa kuwa free, fair , credible and verifiable. Ndicho wanachotaka wapiga kura, sio hizi danadana kwamba hatuna muda, bunge linavunjwa.
 
Ndugu yangu mjahidina, kwani kuna sheria inasema vyama vya siasa ni lazima viwe na viongozi waislam? Huu ni ujinga wenu wajahidina mnaodhani Tanzania au duniani, dini pekee ni ukristo na uislam na dini nyingine hazina hadhi. Tanzania kuna wanaoabudu mizimu wengi tu peleka infreriority complex yako ya udini huko!
Takwimu za uchaguzi huu CHADEMA uliopita.

Wagombea - 94
Wakristo - 87
Waislamu - 6

Kanda 4 za uchaguzi Chadema ilisimamisha Waislamu sita tu. Nimelia sana.
 
Wanakumbi.

Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?

Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..

Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁

Haya kiko wapi?!!
Nilisema humu kama mtu anasema hadharani bila aibu kwamba HAJUI OFISI ya Mwenyekiti ipo wapi, mara fedha za Mama Abduli wamepewa watu n.k mnategemea Nini baada ya hapo? Kuchamba kwingi unaondoka na kinyesi mwishoni!!!
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
kwa mwenyekiti huyu huyu wa kukimbilia beljam?
 
Hiki chama kimebeba itikadi ya udini ni Aibu sana na hakifai kabisa
 
Title na maelezo mbona viko tofauti. Au ndo kumsingizia mod amebadiri kichwa
 
Ndugu yangu mjahidina, kwani kuna sheria inasema vyama vya siasa ni lazima viwe na viongozi waislam? Huu ni ujinga wenu wajahidina mnaodhani Tanzania au duniani, dini pekee ni ukristo na uislam na dini nyingine hazina hadhi. Tanzania kuna wanaoabudu mizimu wengi tu peleka infreriority complex yako ya udini huko!
Pole sana Dada Sharifa, huna kosa lolote, kosa lako ni kuwa Muislamu tu.

Safu ya juu wote ni WAKRISTO, Mwenyekiti, Makamu wake na Bavicha, kamati kuu zaidi 90% wakristo, wewe hutakiwi watakutoa waweke MKRISTO mwenzao.
 
Attachments

  • IMG_2368.jpeg
    IMG_2368.jpeg
    239.7 KB · Views: 2
Pole sana Dada Sharifa, huna kosa lolote, kosa lako ni kuwa Muislamu tu.

Safu ya juu wote ni WAKRISTO, Mwenyekiti, Makamu wake na Bavicha, kamati kuu zaidi 90% wakristo, wewe hutakiwi watakutoa waweke MKRISTO mwenzao.
Una ule ujinga wa kibongo bongo wa kudhani kumwita mwanaume dada basi wewe ni mzinga wa janja. Mjahidina juzi juzi ulikuwa unasema Chadema ni chama cha wachaga. Sasa umebadilisha na kusema kinabagua waislam. Umefilisika kama maushungi.
 
Hivyo vyama 15 vinaridhiana Nini ?
Maridhiano hayakuwekwa kwa ajili ya yenu, kuna vyama zaidi ya 15 vitashiriki mchakato huu na mambo yatakwenda vizuri kabisa bila yenu.

Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna, kama ni wakubwa kweli, CCM isingeshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa asilimia zaidi ya 98%.

Kama ni wakubwa kweli msingeshindwa kusimamisha wagombea chini ya asilimia 30% ya mitaa na vijiji vyote nchini.

Chama chenu ni kidogo sana, mnadanganywa na likes na RTs mtandaoni na kujipa ukubwa ambao hamna.

Dawa yetu tunayo, 2025 ndio mwisho wa jeuri yenu, lazima tuwakate midomo.
Hawajafungwa, hawakunyongwa kwenye uchaguzi ,hawajatekwa, hawana kesi za kusingiziwa? Navyo ni vyama?
 
Hivyo vyama 15 vinaridhiana Nini ?

Hawajafungwa, hawakunyongwa kwenye uchaguzi ,hawajatekwa, hawana kesi za kusingiziwa? Navyo ni vyama?
Kuna chama viongozi wake wamekaa jela na kuteswa kama ACT?
 
😂😂😂

Wakili Peter Madeleka amesema njia pekee ya kupata haki ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa ni kufanya maridhiano, hivyo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira afungue milango kama ambavyo aliahidi.

Kwanza mlidharau mafundisho ya Mungu Baba.

Aliposema “Heshimu mamlaka” mkaleta jeuri, na haya ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom