Maridhiano hayakuwekwa kwa ajili ya yenu, kuna vyama zaidi ya 15 vitashiriki mchakato huu na mambo yatakwenda vizuri kabisa bila yenu.
Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna, kama ni wakubwa kweli, CCM isingeshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa asilimia zaidi ya 98%.
Kama ni wakubwa kweli msingeshindwa kusimamisha wagombea chini ya asilimia 30% ya mitaa na vijiji vyote nchini.
Chama chenu ni kidogo sana, mnadanganywa na likes na RTs mtandaoni na kujipa ukubwa ambao hamna.
Dawa yetu tunayo, 2025 ndio mwisho wa jeuri yenu, lazima tuwakate midomo.