mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
We jamaa ni mweupe mno kichwani mwako, sometimes piga kimya kuficha ujinga wako machoni pa watuMaridhiano hayakuwekwa kwa ajili ya yenu, kuna vyama zaidi ya 15 vitashiriki mchakato huu na mambo yatakwenda vizuri kabisa bila yenu.
Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna, kama ni wakubwa kweli, CCM isingeshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa asilimia zaidi ya 98%.
Kama ni wakubwa kweli msingeshindwa kusimamisha wagombea chini ya asilimia 30% ya mitaa na vijiji vyote nchini.
Chama chenu ni kidogo sana, mnadanganywa na likes na RTs mtandaoni na kujipa ukubwa ambao hamna.
Dawa yetu tunayo, 2025 ndio mwisho wa jeuri yenu, lazima tuwakate midomo.
Sasa kama chadema wanajipa ukubwa ambao hawana kwa nini kucha kutwa mnahangaika kuwajibu majukwaani
Hapa ni hakuna mabadilo, hakuna uchaguzi elewa neno hakuna madiliko hakuna uchaguzi , au kiswahili kigumu