Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We jamaa ni mweupe mno kichwani mwako, sometimes piga kimya kuficha ujinga wako machoni pa watu

Sasa kama chadema wanajipa ukubwa ambao hawana kwa nini kucha kutwa mnahangaika kuwajibu majukwaani

Hapa ni hakuna mabadilo, hakuna uchaguzi elewa neno hakuna madiliko hakuna uchaguzi , au kiswahili kigumu
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Kuzuia uchaguzi kufanyika ni treasonous act (uhaini) 🐼
 
Ccm wanajichora tu kwa nini wanaogopa hizo sweeping political reforms kuna nini..??

Ndio maana kila siku tunasema ccm kamwe haiwezi kushinda uchaguzi wowote ulio huru na haki. Watabaki kujitangaza washindi kwenye hizi chaguzi feki wanazotoa mawakala kwenye vituo kwa kutumia polisi wao.
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Kwa hiyo hautakuwepo utakwenda wapi? Mabwege Sana nyie.
 
Mbona nyie hamjawahi kubadili japo mkasema uchaguzi huu uwe huru na haki,kwa maana michakato ya awali iwe huru na ya haki katika ngazi zote na kifikia hatua ya tume nayo iruhusu mchakato kuwa huru ,haki na wazi ili kupata kilicho bora kwa matarajio ya watu wa taifa na taifa badala ya rushwa,chawa,uchawa na mazonge yafananayo na hayo.
 
Waogope tu ila sasa zimeanzia huko duniani.Punde hadi nyeti za ndege zitaangaza palipo na giza.
 
Sasa kama sheria za uchaguzi zinabaki hizi hizi zilizotungwa na ccm basi kuna haja gani ya kwenda kwenye huo uchaguzi wakati tayari sasa hivi mwezi wa kumi bado lakini ccm tayari wana matokeo yote nchi nzima.

It's nonsense and stupid.
 
Mimi sijibizani na huyo ila natumia fursa ya kujibizana na huyo kuelimisha umma ambao unaweza kupotoshwa na hoja fulani hapa.
N A K A Z I A

Umma Unapoelimishwa Nguvu Kubwa Sana Ya Uelewa Wa Hilo Jambo Huenda Mbali Mpaka Vijijini. Yule Member Anajizima Data Halafu Wewe Unawasha Data

Nakumbuka Mwaka Jana Lissu Akiwa Dodoma Kiwanja Cha Mpira Alimwaga Darasa Kuhusu Haki Ya Kumiliki Ardhi Zanzibar Kwa Mtanganyika

WATU Wengi Walielimika Na CCM Wakaumia Sana
 
Sasa kama sheria za uchaguzi zinabaki hizi hizi zilizotungwa na ccm basi kuna haja gani ya kwenda kwenye huo uchaguzi wakati tayari sasa hivi mwezi wa kumi bado lakini ccm tayari wana matokeo yote nchi nzima.

It's nonsense and stupid.
Hapo unawauliza hao wanachafuzi au wamaotamani chaguzi kwa manufaa ya taifa na sii kwa manufaa ya machawa kwa manufaa ya watumao watumwa wao.(umkoloni wa kileo)?
 
😂
 
Attachments

  • 2a01aeff-0134-40cd-b764-555e1551d0ed.jpeg
    218.5 KB · Views: 3
Hawa watu wengine tatizo lao ukiwapiga daflao la logic na facts wanakimbia hawajibu, wanaenda kuanzisha fitna kwingine upyaaa.
 
Si Lissu bali ni akili yako imekudanganya kuhusu tafsiri sahihi.
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Na wewe unaamini? Umri wako ktk siasa za Tanzania unaamini hayo maneno?
 
Hakuna mabadiliko na kuna uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…