Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!..
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Hakuna mwenye pumbu za kuzuia uchaguzi kati yao. Hiyo ilikuwa chorus ya kuombea kura tu.
 
Unataka ukamiliki ardhi Zanzibar (1,658 square km)? Ardhi yenyewe iko wapi kwenye vile visiwa ambavyo eneo lake ni dogo kuliko wilaya ya Kibaha yenye 2,452 square kilometres.

Yaani mradi kaongea Tundu Lissu tu nyie mnamfuata kama wafuasi wa Kibwetere au Mwamposa
 
Huyo ndiyo Lissu atakayeitia matundu chadema na kuishia kujuta kwanini hawakumstukia mapema.
 
Leteni mikataba ya DP World bungeni kama mlivyoahidi.
😂😂😂
Tuna uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba na kuna no reform no election, hayo mambo mawili hayaendi pamoja hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi sio hatutasusia uchaguzi" - Lissu
 
Fisi haziriwi bucha, atakula nyama zote. Chadema itatia timu uchaguzi mkuu huku ikidai hayo mabadiliko. Kikubwa uchaguzi uwe huru, wazi na kweli
 
Hii akiri ya kidwazi sana. Nini kinapelekea kuengua wagombea na kuwatisha. Kama ccm ni kubwa iwekwe tume huru na katiba huru then twende ground tukachaguliwe kwa haki uone kama ccm itashinda?.
MNAKERA SANA BROTHER NA HUO UCHAWA WENU
 
Porojo za masjid ubwabwa ndio zimehamia huku..😲😲😲
Hivi kwa nini Pro~Chadema wengi wanachuki sana na Waislam? Mpaka leo huwa najiuliza sana Waislam waliwakosea nini ?
 
Hivi kwa nini Pro~Chadema wengi wanachuki sana na Waislam? Mpaka leo huwa najiuliza sana Waislam waliwakosea nini ?
Muislam gani wewe waislam ni waarabu bwana.
 

Attachments

  • Screenshot_20240817-213406.jpg
    306.8 KB · Views: 2
Tundu Lissu ukimuuliza "Toa sababu tatu kwa nini tukuchague wewe" ataanza kukuhoji wewe "Kwa nini unataka sababu tatu tu?"
 
Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Watafanya kipi ili uchaguzi usiwepo? Uwezo huo wa kuziia kuwepo kwa uchaguzi wanao?

NB: Mwenyekiti wao akisikia tu muridimo wa bunduki hukumbuka yale ya Dodoma na haraka sana hukwea pipa hadi Ubeligiji. Katibu Mkuu wao haraka sana hukimbilia Msimbazi TEC kujificha kanisani. Ujasiri wa Makamu mwenyekiti wao kwa Wakurya ni wa mura wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…