Pre GE2025 Lissu, mbona mnabadili gia angani tena? “No reform No election”Imekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii akiri ya kidwazi sana. Nini kinapelekea kuengua wagombea na kuwatisha. Kama ccm ni kubwa iwekwe tume huru na katiba huru then twende ground tukachaguliwe kwa haki uone kama ccm itashinda?.
MNAKERA SANA BROTHER NA HUO UCHAWA WENU
Ni wazi kuwa Mbowe kasusa kujihusisha na mambo ya UFIPA na kundi lake limejiweka pembeni likingojea kwa hamu sana anguko la uongozi wa Lissu, na chama chao kwa ujumla.
 
Kitendo cha kushindwa kuendelea kutumia ukumbi wa Mlimani City mara baada ya Mbowe kuondoka na Chiba kutangazwa na kuzimiwa taa kwa kukosa 50m TZS za kulipia ukumbi lilikuwa ni jaribio la kwanza la uongozi wa Lissu, ambalo alifeli na kukosa uwezo hata wa kuaminiwa kwa kauli tu kuwa 50m TZS italipwa wasizime taa!.

Kitendo cha Mbowe kususa kuja kukabidhi ofisi kama ambavyo walitangazia watu ni ishara ya pili kuwa ndani ya UFIPA kuna makundi mawili makubwa na kubwa zaidi ni lile la wanaotaka kuona UFIPA inafeli na kwa hali iliyopo linafeli kweli!..
 
Nimemsikiliza Lissu alipokuwa anakabidhiwa ofisi na nimetafakari kauli zake nimegundua ndani ya nafsi yake anaona mlima mrefu alionao kwenye kuongoza kikundi chao na kichekesho kikubwa zaidi ni pale aliposema eti kauli yao ya No Reform No Election haina maana kususia uchaguzi!. Kauli zake za kishujaa za wakati wa kampeni zimeyeyuka.
 
Ukitaka kujua maji yako shingoni mara baada ya kuchaguliwa wameanzisha kampeni kusukuma watu kulipia kadi za uanachana ambazo zimedumu siku 2-3 zimeyeyuka na kufa! Yaani mkusanye hela za kuendesha chama kwa kuuza kadi? Hivi nyie mko sawa kichwani kweli?

Lissu. amesema kuwa watafanya harakati kweli kweli!.. Nimeshangaa kwa kuwa mimi naelewa kuwa UFIPA ni chama cha siasa na kinafanya siasa sasa mambo ya harakati sijajua yanatoka wapi lakini inawezekana ni mwanzo mpya ya chama hiki kutumika kama jukwaa la kufanya harakati!.
 
😂😂😂
Tuna uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba na kuna no reform no election, hayo mambo mawili hayaendi pamoja hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi sio hatutasusia uchaguzi" - Lissu
Maana yake nyepesi ni kuwa kama hakutakuwa na mabadiliko wanayoyataka chadema basi wanachama wa chadema hawatajitokeza kupiga kura (aka elect) kwenye uchaguzi huo hata kama watakuwa wameweka wagombea wao.
 

Hakuna cha kukata na kuongea. Watakutana jukwaani. Musiba kishawaambia mlete damu mchanga, akina Polepole na Bashiru.
 

Hivi kwa akili ya kawaida tu unaamini kuwa ni kweli pesa ya kuendesha chama kwa miaka yote imetolewa na Mbowe!? Unless, mnataka kusema Mbowe ni MO number 2.
 
Ile hadithi mwanamke hafai kuwa kiongozi mkuu mashekhe wa jf washaitia kwapani 🤣🤣🤣
 
Omba utafisiriwe, madhara ya shule za kata ni dhahili kwasasa. Acha ubishi
 
No reform no election, Shika hii sentensi.
Inawezekana hatujui kiingereza na hatujui pia kiswahili cha No Reform No Election lakini kwa vyovyote vile hivi ni vichekesho vya mwaka. Nilisikia pia lissu, akisema wanakwena kufanya harakati kweli kweli ! Nikajiuliza kama UFIPA ni chama cha harakati au chama cha siasa?
 
Maushungi anasema wanaohoji kuwa anakopa fedha sana, kwani anakopa fedha za kununua sare za harusi?😛😛😛😛
Kichekesho ni siku Lissu. aliyokwenda kujikabidhi ofisi ( kwa kuwa Mbowe kasusa) alilamba matapishi yake na kusema kauli ya No Reform No Election siyo kususia uchaguzi na haziendi pamoja 🤣
 
Omba utafisiriwe, madhara ya shule za kata ni dhahili kwasasa. Acha ubishi
Kwenye siasa hakuna kitu hatari kama kuwa kigeugeu na kinyonga hasa inapokuja suala la kuaminisha wafuasi wake nyumbu kama walivyo wafuasi wengi wa UFIPA.

Inawezekana hatujui kiingereza na hatujui pia kiswahili cha No Reform No Election 😂

Ulivyokukwq punguani unashikiwa akili na wewe unakubali tu haya tupe tafsiri ya haya maneno No Reform No Election

Nasiburi majibu nipe pale nimejibanza nakunywa kahawa.
 
Maushungi anasema wanaohoji kuwa anakopa fedha sana, kwani anakopa fedha za kununua sare za harusi?😛😛😛😛
Niiliwa sitaki kwenda huko unapotaka ngoja twende sawa.

Kwanini CHADEMA haijawahi kuwa na mwenyekiti muislamu?
 

Attachments

  • IMG_2316.jpeg
    331.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…