macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna sheria inasema chama lazima kiwe na mwenyekiti muislam? Uislam ndiyo dini pekee Tanzania? Udini wenu ni hatariNiiliwa sitaki kwenda huko unapotaka ngoja twende sawa.
Kwanini CHADEMA haijawahi kuwa na mwenyekiti muislamu?
Twende sasa😂😂 endelea kutoa ufafanuzi.Kuna sheria inasema chama lazima kiwe na mwenyekiti muislam? Uislam ndiyo dini pekee Tanzania? Udini wenu ni hatari
Kuwa na adabu expert wangu,unapo lumbana na mtu mmoja usitumjulishe woteWaislamu kweli hamna akili
Ndugu yangu mjahidina, kwani kuna sheria inasema vyama vya siasa ni lazima viwe na viongozi waislam? Huu ni ujinga wenu wajahidina mnaodhani Tanzania au duniani, dini pekee ni ukristo na uislam na dini nyingine hazina hadhi. Tanzania kuna wanaoabudu mizimu wengi tu peleka infreriority complex yako ya udini huko!Twende sasa😂😂 endelea kutoa ufafanuzi.
Kwa miaka 32 hawajawahi kuwa na kiongozi wa vijana muislamu. KKKT na RC wako serious sana.
Ni wajinga tuu ndio wanawaamini WanasiasaWanakumbi.
Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?
Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..
Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁
Haya kiko wapi?!!
Maana yake ni kwamba, kama serikali ya ccm itang'ang'ania kuendelea na uchaguzi bila mabadiriko , utakuwa ni uchafuzi mwingine tena, hivyo huo hautaitwa uchaguzi bali uchafuzi.Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Takwimu za uchaguzi huu CHADEMA uliopita.Ndugu yangu mjahidina, kwani kuna sheria inasema vyama vya siasa ni lazima viwe na viongozi waislam? Huu ni ujinga wenu wajahidina mnaodhani Tanzania au duniani, dini pekee ni ukristo na uislam na dini nyingine hazina hadhi. Tanzania kuna wanaoabudu mizimu wengi tu peleka infreriority complex yako ya udini huko!
Nilisema humu kama mtu anasema hadharani bila aibu kwamba HAJUI OFISI ya Mwenyekiti ipo wapi, mara fedha za Mama Abduli wamepewa watu n.k mnategemea Nini baada ya hapo? Kuchamba kwingi unaondoka na kinyesi mwishoni!!!Wanakumbi.
Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?
Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..
Tukiwaambia huyu mtu ni makelele tu na blah blah lakibi hana uwezo wowote wa kugomesha watu kushiriki uchaguzi hamkuwa mnaelewa..😁😁
Haya kiko wapi?!!
kwa mwenyekiti huyu huyu wa kukimbilia beljam?Wamesema hivi, Maana ya kauli yao siyo kususia Uchaguzi bali uchaguzi hautakuwepo, sijui kama unaelewa, yaani bila maboresho ya Sheria uchaguzi hautafanyika, Afe beki afe kipa
Pole sana Dada Sharifa, huna kosa lolote, kosa lako ni kuwa Muislamu tu.Ndugu yangu mjahidina, kwani kuna sheria inasema vyama vya siasa ni lazima viwe na viongozi waislam? Huu ni ujinga wenu wajahidina mnaodhani Tanzania au duniani, dini pekee ni ukristo na uislam na dini nyingine hazina hadhi. Tanzania kuna wanaoabudu mizimu wengi tu peleka infreriority complex yako ya udini huko!
Una ule ujinga wa kibongo bongo wa kudhani kumwita mwanaume dada basi wewe ni mzinga wa janja. Mjahidina juzi juzi ulikuwa unasema Chadema ni chama cha wachaga. Sasa umebadilisha na kusema kinabagua waislam. Umefilisika kama maushungi.Pole sana Dada Sharifa, huna kosa lolote, kosa lako ni kuwa Muislamu tu.
Safu ya juu wote ni WAKRISTO, Mwenyekiti, Makamu wake na Bavicha, kamati kuu zaidi 90% wakristo, wewe hutakiwi watakutoa waweke MKRISTO mwenzao.
Hawajafungwa, hawakunyongwa kwenye uchaguzi ,hawajatekwa, hawana kesi za kusingiziwa? Navyo ni vyama?Maridhiano hayakuwekwa kwa ajili ya yenu, kuna vyama zaidi ya 15 vitashiriki mchakato huu na mambo yatakwenda vizuri kabisa bila yenu.
Mnataka kujipa ukubwa ambao hamna, kama ni wakubwa kweli, CCM isingeshinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa asilimia zaidi ya 98%.
Kama ni wakubwa kweli msingeshindwa kusimamisha wagombea chini ya asilimia 30% ya mitaa na vijiji vyote nchini.
Chama chenu ni kidogo sana, mnadanganywa na likes na RTs mtandaoni na kujipa ukubwa ambao hamna.
Dawa yetu tunayo, 2025 ndio mwisho wa jeuri yenu, lazima tuwakate midomo.
Naona tayari karasi zako za Asylum seekers zipo tayari, siyo?Afe beki afe kipa