Mbowe alikuwa anataka kumfanyia Tundu Lissu ZENGWE sasa imembackfire😂🤣Juzi Mbowe aliongeabkwa uchungu.
Leo Lissu ameongea kwa ukali.
Na kwa vyoyote kauli za Lissu zinaonyesha kuwa jamaa amewanyanyasa sana.
Wakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
......kabisa na ni wazi watu hawana staha wala uvumulivu naye tena!Juzi Mbowe aliongeabkwa uchungu.
Leo Lissu ameongea kwa ukali.
Na kwa vyoyote kauli za Lissu zinaonyesha kuwa jamaa amewanyanyasa sana.
Lissu amenyooka, hataki kona konaWakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
WellHapana, Lissu anatambua vyema kipi ni siri ila hauwezi ukayatumia ya sirini kutaka kumpiga halafu yeye akae kimya.
Mbowe hakupaswa kumshambulia Lissu kuwa anataka vyote na kwamba uamuzi wake wa kugombea ulikuwa ni wa 'ghafla sana' wakati akijua walikutana faragha na kulikuwa na makubaliano.
Kwanini aongee uongo? Kama Lissu angekuwa ni mtoa siri basi hili angeliongea tangu wakati ule anachukua form.
LIssu ameongea na kuhojiwa mara nyingi sana lakini hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwamba kulikuwa na maongezi yoyote baina yao, ni Mbowe ambaye katekenywa kidogo tu, anatoa kauli zinzopelekea yaliyo sirini kuvuja sababu alitaka kuutumia usiri ule kujiweka salama akijifanya 'Mr. Smart'.
Lissu hakuwahi kumshambulia Mbowe, ila inaonekana Mbowe hawezi kujieleza akaeleweka bila ya kumshambulia Lissu
freshi tu maadamu ni jukwaa la kufanyia siasaNia yake kukimbilia CHAUMA
Pesa ipo nyingi paleHivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Ndio maana Nchi inauzwa mikataba inafichwa watu waoga waoga kuambiana uwazi na ukweli.Nchi yetu haitaki uwe muwazi
Haya ngoja tusubiriNdio maana Nchi inauzwa mikataba inafichwa watu waoga waoga kuambiana uwazi na ukweli.
CCM inanuka RUSHWA na sasa CHADEMA nayo imeambukizwa RUSHWA.
SASA SISI WAZALENDO TUKO NA TUNDU LISSU.
Mambo ya kuuana na kutekana harafu unaita haya ni siri.Tundu Antipas Mugwai Lisu Hana mambo ya gizani, hata mauti yalimuogopa kwa uwezo wa Mungu. Hana chakuficha .Nyeupe kwake ni Nyeupe.
Anao utume kwa ajili ya watanzania hususa watanganyika🤣🤣
Mimi niko na LissuNdio maana Nchi inauzwa mikataba inafichwa watu waoga waoga kuambiana uwazi na ukweli.
CCM inanuka RUSHWA na sasa CHADEMA nayo imeambukizwa RUSHWA.
SASA SISI WAZALENDO TUKO NA TUNDU LISSU.
Mungu akuweke Sana Mkuu. Nchi inahitaji watu potential kama wewe!🙏Tofauti ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu (ingalau kwenye hili) ni ipi...?
Tatizo kubwa ninaliliona la Freeman Mbowe ni kutokuwa mkweli..
Alishindwa nini siku ile ya interview yake kuweka mambo wazi walijadili nini kwenye vikao na wakakubaliana nini.?
Ikawaje akajenga utetezi wake ktk namna ya kumtweza na kumjengea mwenzake picha ya kuonekana ni mtu asiyeheshimu makubaliano..?
Katika hili kwanini uone ajabu Tundu Lissu kuijibu hoja hiyo kwa namna hii aliyoijibu..?
Ni kweli Tundu Lissu ana mdomo mpana usioweza kuhimili kukaa na vitu au mambo ya hovyo...
Kama unafanya naye kazi, usiwe mtu wa konakona, kuwa straight na hapo mtaenda pamoja...
Otherwise, ukiwa na longolongo nyingi, atakulipua tu hata kama wewe ni baba yake...
Kwa maoni yangu, huyu mtu ni mzuri sana. Mkiwa naye kwenye utendaji, mta - achieve malengo yetu haraka bila stress...
Chadema walienda kuwaondoa walinzi wa AREA D na baadae wakaenda kung'oa CCTV CAMS na na footage hazijawah kuvuja kokote mtandaoni. CHADEMA WANA NGUVU SANA😂😂😂😂😂😂😂
Ila Lissu jamani huwa ananifurahisha anavyoongea
No wonder hata zile risasi alipigwa na chadema wenzake
Ila wakamtupia zigo baba wa watu.
Ni vyema tu wakubaliane kuokoa hicho chama. Wampitishe Mbowe kugombea Uwenyekiti kwa mara ya mwisho na Lisu kugombea urais. Win win situation.Hadi naona shida nianzie wapi kukuelemisha, tafuta taarifa kwanini Lissu aliamua kubadili mawazo na kugombea nafasi ya Uwenyekiti.
Mbowe alijipanga kumfanyia uhuni makamu wake. Alipanga kuanza na kumpoka nafasi ya umakamu kisha kumnyima nafasi ya kugombea Urais.
Lissu akashtuka mapema naye akabadili mawazo, ndio hii imekuwa vita sasa.
Lissu ni mkweli sanaWakuu
Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais
Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
Yule jamaa ni hatari yule.Juzi Mbowe aliongeabkwa uchungu.
Leo Lissu ameongea kwa ukali.
Na kwa vyoyote kauli za Lissu zinaonyesha kuwa jamaa amewanyanyasa sana.
Lesser beamLisu huwa ni mkweli na muwazi. ndivyo wanasheria wengi tulivyo, huwa hatupendi kujidanganya, kudanganya nafsi, NOo, tunasema ukweli
Kuna siri nyingine sio siri ni ujinga tu.Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)