Pre GE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

Pre GE2025 Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu

Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais

Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Juzi Mbowe aliongeabkwa uchungu.
Leo Lissu ameongea kwa ukali.

Na kwa vyoyote kauli za Lissu zinaonyesha kuwa jamaa amewanyanyasa sana.
......kabisa na ni wazi watu hawana staha wala uvumulivu naye tena!

.......dah, I feel pity for him. Waliomshauri kuchukua mkondo huu walikosea sana

........hata hivyo bado muda upo wa kuweka mambo sawa akitaka. La hataki, acha tuone wataishia wapi
 
Wakuu

Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais

Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
Lissu amenyooka, hataki kona kona
 
Hapana, Lissu anatambua vyema kipi ni siri ila hauwezi ukayatumia ya sirini kutaka kumpiga halafu yeye akae kimya.
Mbowe hakupaswa kumshambulia Lissu kuwa anataka vyote na kwamba uamuzi wake wa kugombea ulikuwa ni wa 'ghafla sana' wakati akijua walikutana faragha na kulikuwa na makubaliano.

Kwanini aongee uongo? Kama Lissu angekuwa ni mtoa siri basi hili angeliongea tangu wakati ule anachukua form.
LIssu ameongea na kuhojiwa mara nyingi sana lakini hakuwahi kuonyesha dalili yoyote kwamba kulikuwa na maongezi yoyote baina yao, ni Mbowe ambaye katekenywa kidogo tu, anatoa kauli zinzopelekea yaliyo sirini kuvuja sababu alitaka kuutumia usiri ule kujiweka salama akijifanya 'Mr. Smart'.

Lissu hakuwahi kumshambulia Mbowe, ila inaonekana Mbowe hawezi kujieleza akaeleweka bila ya kumshambulia Lissu
Well
 
Tundu Antipas Mugwai Lisu Hana mambo ya gizani, hata mauti yalimuogopa kwa uwezo wa Mungu. Hana chakuficha .Nyeupe kwake ni Nyeupe.
Anao utume kwa ajili ya watanzania hususa watanganyika🤣🤣
Mambo ya kuuana na kutekana harafu unaita haya ni siri.

Siku zote watawala wanatumia Siri kunyanyasa watu.

Imagine kumbe muda wote huo Lissu na Mbowe walisuruhishwa. Kikao cha heshima kabisa wali conclude kwamba Lissu agombee.

Saaa Mzee wa Kubadili Gia angani akamgeuka tena hadharani na bado anataka kutumia kichaka cha usiri.

Yale yale ya Kaflagi
 
Tofauti ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu (ingalau kwenye hili) ni ipi...?

Tatizo kubwa ninaliliona la Freeman Mbowe ni kutokuwa mkweli..

Alishindwa nini siku ile ya interview yake kuweka mambo wazi walijadili nini kwenye vikao na wakakubaliana nini.?

Ikawaje akajenga utetezi wake ktk namna ya kumtweza na kumjengea mwenzake picha ya kuonekana ni mtu asiyeheshimu makubaliano..?

Katika hili kwanini uone ajabu Tundu Lissu kuijibu hoja hiyo kwa namna hii aliyoijibu..?

Ni kweli Tundu Lissu ana mdomo mpana usioweza kuhimili kukaa na vitu au mambo ya hovyo...

Kama unafanya naye kazi, usiwe mtu wa konakona, kuwa straight na hapo mtaenda pamoja...

Otherwise, ukiwa na longolongo nyingi, atakulipua tu hata kama wewe ni baba yake...

Kwa maoni yangu, huyu mtu ni mzuri sana. Mkiwa naye kwenye utendaji, mta - achieve malengo yetu haraka bila stress...
Mungu akuweke Sana Mkuu. Nchi inahitaji watu potential kama wewe!🙏
 
😂😂😂😂😂😂😂
Ila Lissu jamani huwa ananifurahisha anavyoongea

No wonder hata zile risasi alipigwa na chadema wenzake
Ila wakamtupia zigo baba wa watu.
Chadema walienda kuwaondoa walinzi wa AREA D na baadae wakaenda kung'oa CCTV CAMS na na footage hazijawah kuvuja kokote mtandaoni. CHADEMA WANA NGUVU SANA
 
Hadi naona shida nianzie wapi kukuelemisha, tafuta taarifa kwanini Lissu aliamua kubadili mawazo na kugombea nafasi ya Uwenyekiti.

Mbowe alijipanga kumfanyia uhuni makamu wake. Alipanga kuanza na kumpoka nafasi ya umakamu kisha kumnyima nafasi ya kugombea Urais.

Lissu akashtuka mapema naye akabadili mawazo, ndio hii imekuwa vita sasa.
Ni vyema tu wakubaliane kuokoa hicho chama. Wampitishe Mbowe kugombea Uwenyekiti kwa mara ya mwisho na Lisu kugombea urais. Win win situation.
 
Wakuu

Kimeumana CHADEMA, Tundu Lissu amvaa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe baada ya kurejea Tanzania kutoka nchini Ubeligiji.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuulizwa kuhusu alichokisema Mbowe kuwa walishauriana asigombee Uenyekiti CHADEMA, pengine baadae angegombea Urais

Soma, Pia: Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

"Kwanza hili niliseme kwa masikitiko, kwasababu si jambo nzuri kusema Mwenyekiti (Freeman Mbowe) amesema uongo, kwenye hili amesema uongo. Tulikutana kwa siku tatu hapa Msimbazi, Kanisani tukipatanishwa, tukizungumza juu ya hiki kinyang’anyiro na kwa siku tatu zote Mwenyekiti alisema yeye hajaamua kugombea nafasi yoyote [kwa siku tatu], Katibu Mkuu John Mnyika ni shahidi…."
View attachment 3194110
Lissu ni mkweli sana
20250103_085515.jpg
 
Juzi Mbowe aliongeabkwa uchungu.
Leo Lissu ameongea kwa ukali.

Na kwa vyoyote kauli za Lissu zinaonyesha kuwa jamaa amewanyanyasa sana.
Yule jamaa ni hatari yule.
 
Hamna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa upande wa pili wa Lissu( Na uzuri wa Lissu huwa hana konakona, hata ukimwambia hii ni siri kuna siku utaikuta gazetini)
Kuna siri nyingine sio siri ni ujinga tu.
Ukweli lazima usemwe ili wababishaji wanaohujumu chama na kukidhorotesha wajulikane.
Chama hakiaminiki kwa sababu ya kutunziana ujinga unaoitwa siri
 
Back
Top Bottom