Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Baba wa mtu aliwahi kukanusha?😂😂😂😂😂😂😂
Ila Lissu jamani huwa ananifurahisha anavyoongea
No wonder hata zile risasi alipigwa na chadema wenzake
Ila wakamtupia zigo baba wa watu.
Nimepata hofu kama huu uchaguzi utakuwepo 21.Mbowe anaamini kabisa kuwa CHADEMA ni chama CHAKE BINAFSI.
Mbowe anajifanya mtoto wa mjini huku akijinufaisha binafsi kwa mgongo wa chama.Hadi naona shida nianzie wapi kukuelemisha, tafuta taarifa kwanini Lissu aliamua kubadili mawazo na kugombea nafasi ya Uwenyekiti.
Mbowe alijipanga kumfanyia uhuni makamu wake. Alipanga kuanza na kumpoka nafasi ya umakamu kisha kumnyima nafasi ya kugombea Urais.
Lissu akashtuka mapema naye akabadili mawazo, ndio hii imekuwa vita sasa.
Hii movi sasa inatishaNgoja tuone hii movie ya kutisha itaendeleaje.
Tofauti ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu (ingalau kwenye hili) ni ipi...?Anasema ana mdomo mpana,
Wanaomshabikia kuna siku atawarudia..
Kama hata vikao vya sir anaropoka mpaka eneo walilofanyia.. imagine ni top boss wa CDM.....
Siasa za upinzani kuendesha chama sio kazi rahisi .
Kuendesha chama kwa kusema tu?
Tupo
Hili linaweza kuwa na ukweli mkubwa sana, kwani endapo asingegombea nafasi ya M/kiti kwenye nafasi ya makamu m/kiti tayari alikuwa ameandaliwa Wenje, nafasi ya raisi angeingia mwamba mwenyewe, kwa hiyo automatically TAL angekuwa NO BODY ndani ya chama na hilo pengine lingekuwa anguko lake la kisiasa, this might be a planned game. Jamaa kaamua kupindua meza mbwayi na iwe mbwayi. The guy is so smart and led by smart syndicate.Hadi naona shida nianzie wapi kukuelemisha, tafuta taarifa kwanini Lissu aliamua kubadili mawazo na kugombea nafasi ya Uwenyekiti.
Mbowe alijipanga kumfanyia uhuni makamu wake. Alipanga kuanza na kumpoka nafasi ya umakamu kisha kumnyima nafasi ya kugombea Urais.
Lissu akashtuka mapema naye akabadili mawazo, ndio hii imekuwa vita sasa.
Lissu kasema kuwa shahidi yake ni Katibu Mkuu wa CDM John Mnyika alikuwepo.Maana: Huyu ni mtu anayesema mambo bila kufikiria mara mbili, mara nyingine bila kuzingatia athari za maneno yake.
Big Star vs Coastal UnionDokta ndio nani?
February ni nani?
Mnatuacha mataa
Kikubwa ni maslahi, na siyo kukipigania chama. Anaona akiwa mjumbe na mshauri ndani ya kamati kuu haitatosha kupigania maslahi yake.Hivi kwanini Mbowe anang'ang'ania pale? Kwani kuna nini hasa?
Mangi akijichanganya SACCOS inaenda kumfia mikononi mwake.Nimepata hofu kama huu uchaguzi utakuwepo 21.
Tusubirie press ya Mnyika kesho
Juzi Mbowe aliongeabkwa uchungu.Mangi akijichanganya SACCOS inaenda kumfia mikononi mwake.
Huu ndio utetezi dhidi yake..?Sidhani kama Mbowe anataka kugombea urais. Na inawezekana kuwa ni kweli alikuwa hajaamua kugombea uenyekiti. Mimi nahisi alifanya uamuzi wa kugombea baada ya lugha za kebehi dhidi yake kusheheni mitandaoni. Naamini alikuwa chini ya presha kubwa kutoka kwa ndugu na jamaa za kumtaka asigombee. Ni zile alizoita character assassinations ndio zilimsukuma afanye huo uamuzi.
Kazi sasa ni kwa wapiga kura. Ukweli haya mambo ya vijembe yanasikitisha na yanachosha.
Amandla...
Nchi yetu haitaki uwe muwaziLissu ni muwazi.