old mkiva
Member
- Mar 17, 2024
- 46
- 49
Kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.hapo ndo utajua nch hii chama cha upinzan nikimojatu chadema pekeeMama nchi imemshinda, mwoga anaogopa CHADEMA, hii ni dalili kubwa kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa WA ovyo sana