Pre GE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

Pre GE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ulikuwa ukimponda Magufuli....tumejua kumbe ulikuwa ukimponda kwa Chuki tu. Maana aliyofanya magu ndio hayo hayo unayakubali kwa Samia.

wanafiki sana nyie watu.
Weka ushahidi, nyinyi watu wakiandika ukweli mnasema kumponda.

Magufuli kafanya makosa makubwa sana kwa ujinga wake, tutalipa madeni yake mpaka tujiharishie, kuna kesi lingine la matrilioni linatungoja, huelewi hilo?

Aliingizwa chaka na "maprofesa uchwara" na kwa ujinga akauvaa kichwa kiuchwa ujinga wa profesa wa jalalani.

Sasa nambie kama huo nilioundika siyo ukweli.

Hata mwanao unapenda lakini anapokosea unamkanya na kumwabia, Kwani magufuli ni nani kisisemwe alipokosea?
 
Mwabukusi where are you my friend!

Ccm chama changu hakuna haja ya kuogopa!!

Sasa basi kwakuwa chama kimekosa watu wenye akili za kisayansi wameshauri ujinga na ujinga huu unaenda kutugharim!!

Kongamano la Bavicha ndio litafana zaidi na kuwa kiki kubwa kisa hao jamaa wamekamatwa!!yaani mmewapa kiki Bavicha na watapata huruma ya wananchi!!

Mngefanya kama mlivyo handle maandamano yalivyolindwa na polisi na mkutano wao mngelinda hivyo hivyo !!

Mngewaita viongozi wa kamati kuu na kuwashauri mkutano uwe wa amani kuliko kuwakamata!
Fisi huwa hawajielewi hata Mwabukusi ni wao walimpa kiki
 
Weka ushahidi, nyinyi watu wakiandika ukweli mnasema kumponda.

Magufuli kafanya makosa makubwa sana kwa ujinga wake, tutalipa madeni yake mpaka tujiharishie, kuna kesi lingine la matrilioni linatungoja, huelewi hilo?

Aliingizwa chaka na "maprofesa uchwara" na kwa ujinga akauvaa kichwa kiuchwa ujinga wa profesa wa jalalani.

Sasa nambie kama huo nilioundika siyo ukweli.

Hata mwanao unapenda lakini anapokosea unamkanya na kumwabia, Kwani magufuli ni nani kisisemwe alipokosea?
Acha matusi. Hiyo mikataba mibovu iliyovunjwa unajua fika ni nali aliingia kwa maslahi yao binafsi na sio kwa faida ya watanzania.
 
Acha matusi. Hiyo mikataba mibovu iliyovunjwa unajua fika ni nali aliingia kwa maslahi yao binafsi na sio kwa faida ya watanzania.
Hahahaha, hakuna mkataba mbovu uliovunjwa, usidanganye watu.

Wamesimamisha kazi zao, wameshinda kesi ndiyo maana tumewalipa. Nani aliwasimamisha kazi zao?

Na bado kuna wengoi wengine wanakuja. Nani alisimamisha mikataba yao? Siyo profesa uchwara na mwenda zake?
 
Ivi Lissu si alisema atatimkia ccm kama chadema itaacha misingi yake? Nafikiri anashuhudia ccm ilivyo au tuseme huwa ni njaa tu kufuata vyeo ilhali wanajua yaliyoko ccm
Alikwambia wewe kuwa atatimkia CCM?
 
Samia is confused hajui what to do, alitaka 4R zimemshinda now anarudi kule alipopakimbia.

I think the best wag kwake atupishe 2025, kuongoza nchi sio rahisi kwake, analipoteza taifa kwa kukosa kwake msimamo.
 
Polisi wetu ni sawa na mgambo tu mbele ya raia siku wakiamua, ratio ya polisi na raia haijakaa vizuri!

Siku raia wakiamua Polisi wanakimbia na kutelekeza magari yenye maji ya kuwasha, mbwa farasi, na land cruiser pickup 🛻.

Wanaweza pia kutelekeza vituo vya Polisi siku nguvu ya umma ikiamua.
Nguvu ya Umma uwa ni kubwa sana
 
Wewe ulikuwa ukimponda Magufuli....tumejua kumbe ulikuwa ukimponda kwa Chuki tu. Maana aliyofanya magu ndio hayo hayo unayakubali kwa Samia.

wanafiki sana nyie watu.
Huyo bibi uwa ni dishi akili amna hapo Udini umemjaa
 
Mkuu naomba uiweke katika pdf file. Ninaihitaji hii document ila kuidownload imeshindikana. Natanguliza shukrani za dhati
 
Back
Top Bottom