Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
So Nape. Anashindana mwamba huyuTundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
View attachment 2977212
View attachment 2977213
Kwa nini tuwe na serikali nyingine ndani ya Muungano kama ilivyo sasa wakati Muungano ni Serikali moja?Kwamba kodi zetu hazina kazi zaidi ya kulipia marais watatu misafara?
Muungano siku zote ni serikali 1, haya mambo ya serikali 2 au 3 mliyaota wapi?!
Bara ndiyo top control!!Kwa nini tuwe na serikali nyingine ndani ya Muungano kama ilivyo sasa wakati Muungano ni Serikali moja?
Yaani kwenye familia yako unaweza kuruhusu mtu mwingine awe Baba ambaye atacontrol baadhi ya wanafamilia huku wewe ndio ukiwa Top kucontrol wote?
sisiemu ndio inaukumbatia MuunganoBara ndiyo top control!!
Binafsi sitaki hata kuusikiaHuu muungano uchwara uvunjwe tu umekaa kichawi
Hakika umenena vyema snHuo muungano hauwezi kusimama ukichambuliwa na kujadiliwa kwa uwazi, una matobo mengi tangu mwanzo.
Waumini wake wanataka uwe kama dini, usihojiwe.
Muungano wa watawala usiotakiwa na wananchi wa nchi mbili husika hauwezi kudumu, kuna siku utasambaratika
CCM mwenyewe ukiwauliza tofauti na Mwenyekiti wao hawajui faida za muunganosisiemu ndio inaukumbatia Muungano
Yeye Mwingireza anafaidika na nini?Huu muungano upo chini ya mwingereza na unalindwa Kwa nguvu zao
Mkataba wa Muungano sio kwamba haukupata ridha za wananchi WA Zanzibar Tu, hata wa Tanganyika pia hawakupiga kuraTundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Hivi unajua kuwa mtu akishavaa shati la kijani huwa anajisikia kayapatia maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CCM mwenyewe ukiwauliza tofauti na Mwenyekiti wao hawajui faida za muungano
Anakuwa na kinga ya kuiba bila kusumbuliwa na TAKUKURUHivi unajua kuwa mtu akishavaa shati la kijani huwa anajisikia kayapatia maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ukimgusia kuhusu Muungano nini utakiona cha mtema kuni kwa kushambuliwa
Yote tisa kumi, umasikini ndio tatizo kubwa .Anakuwa na kinga ya kuiba bila kusumbuliwa na TAKUKURU