Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

H

Hii siri hata Uingereza na USA wanaijua vizuri
UK na USA waliiona Zanzibar strategically important enzi zile za vita baridi ya West na Soviet Union !

Waliihofia ingeweza kuwa upande wa Soviet Union kwa masuala ya kisiasa na hata kwa mambo ya kijeshi kama kuwepo na Base ya kijeshi ya USSR hapo ZNZ !
Kwa sasa sababu hizo hazipo kabisa !

Watu wanazo Aircraft Carriiers zinapaki popote pale kwenye International waters somewhere in the deep sea 😅😅🙏 🙏 na kuanza kuzidunda Nchi zozote zitakazo waletea kiburi !

Hawana shida na Nchi yoyote kwa kazi hiyo !!
 
Huo muungano hauwezi kusimama ukichambuliwa na kujadiliwa kwa uwazi, una matobo mengi tangu mwanzo.
Waumini wake wanataka uwe kama dini, usihojiwe.

Muungano wa watawala usiotakiwa na wananchi wa nchi mbili husika hauwezi kudumu, kuna siku utasambaratika

Wanavyozidi kuulazimisha bila maboresho, ndivyo wanavyozidi kuujengea kaburi.
 
Huu muungano uchwara uvunjwe tu umekaa kichawi
Ukivunjika you suffer the consquences. Hivi nyie huwa hamtumii akili? Unapoona Nchi yenye idadi ya watu wasiozidi million moja imeungana na Nchi yenye idadi ya watu zaidi ya million 60, ujue hapo kuna swala moja kubwa la kiusalama na swala jingine la Siasa ni mengineyo
 
Kwa swala la Jumbe Lissy anapotosha, Jumbe alifanya makosa na ilikuwa ashitakiwe kama mhaini. Nyerere akaamua kumweka kizuizini.

Aliyetoa Siri za Jumbe ni marehemu Seif Sharif Hamad Ila baadae alikuwa akitaka madai yaleyale ya Jumbe


Muungano wa Sasa umepoteza uhalali sababu katiba yake imedhavunkwaara nyingi kilichobaki ni kuwapa nafasi wananchi wafanye maamuzi ya kufariki kuivunja haiwezekani sisi Bara tuee tunawalisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa kutoa Kodi zetu
 
Back
Top Bottom