Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

Kuna maeneo nadhani kwa sasa hata wanaotawala wanalazimika kukubali na kuyarekebisha na kukubaliana kwamba katiba ina shida.

Ni lazima kwa umoja wetu kukaa pamoja na kuona maeneo gani tuyarekebishe;sioni kama ni busara sana kusubiri hadi yatokee mabaya siku za usoni.

Tukae chini;tujadiliane na kurekebisha mambo ya msingi kuliko kung'ang'ania kubaki madarakani au kulazimisha kupata madaraka
 
Kwamba kodi zetu hazina kazi zaidi ya kulipia marais watatu misafara?

Muungano siku zote ni serikali 1, haya mambo ya serikali 2 au 3 mliyaota wapi?!
Muungano huwa kuna makubaliano ya pande mbili zinazoungana !
Huwezi kuwalazimisha upande wa pili wakubali unavyotaka upande mwingine. !
 
Siri ya muungano Nyerere kaenda nayo kaburini. Hata Karume mshiriki mwenza alikuwa anaona mapichapicha 🤔
😀
Mpaka akamwambia Mwalimu "ama tufanye serikali moja tu bwana!!"
 
Mimi ninaona Zanzibar walikubali muungano kwa masharti ya kuwa na serikali yao, ila Tanganyika tukakaa kimya. Ukimya wetu ndio umetuponza. Inaonekana Wazanzibari wanafikiri zaidi kuliko Watanganyika.
 
Back
Top Bottom