Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

Kwa mtazamo wowote ule, hali ya muungano wetu kisiasa, ni tete.

Hali hii ya hatari inatokea kwasababu nchi kwa sasa imejikita katika kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu 2025.

Wanasiasa kutokea pande zote- yaani wale walio madarakani na wale wanaotafuta madaraka-wanatumia nyakati hizi kuchochea mihemeko For media attention and public discourse.

Aliyekuwa Raisi wa Kwanza Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alishawahi kutoa nasaha kwa Wananchi. Hata hivyo ni lazima tuendelee kwa tahadhari. Safari hii, kama alivyosema Mwalimu, na jana Waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba-inaweza kuwa mbaya zaidi.

Nkaburu.
 
Lakini inasemekana kwamba Hayati Maalim Seif ndiye aliyemsagia kunguni hayati Jumbe kwa hayati Nyerere kwamba ana mpango wa kuuvunja Muungano !
Je huu uvumi una ukweli ??
Au ni porojo tu ?!
Yale makaratasi yake ya kutaka kujitoa kwenye muungano aliyapata vipi Maalim Seif, kwani alikuwa akifanya kazi ofisi ya Jumbe ikulu?
 

Othman masoud wapi alipotukana ?? unaweza kuniambia tusi hapa ??


View: https://www.youtube.com/watch?v=ZdRPMylxhsI
 

Sijakuambia hiyo ni video , usibabaishe maneno , lete tusi walilotukana Jussa na Othman masoud kama unalo

hakuna mtu anataka huu uvamizi wa kuuliwa Wazanzibari na kunajisiwa wanawake kila uchaguzi katika jitihada zenu za kuweka vibaraka wenu , hivi mnakuja kuuwa watu ili tuwanyonye ??
 
Huu muungano uchwara uvunjwe tu umekaa kichawi

Huu si muunganio ni uvamizi uliopewa jina la muungano na ndio maana kila uchaguzi wanakuja wanajeshi kutoka Tanganyika kuja kuuwa watu katika jitihada za kuwaweka vibaraka wa Tanganyika huku Zanzibar watawale
 
Hebu onyesha hayo matusi ya othman masaud na huyo jussa
 
Anaongelea ubaya wa muungano mikoani, mwambieni afike Tandika Dar es Salaam walikojaa wazanzibari aongee huo ujinga wake aone kama atapigiwa makofi au atazomewa kama mbwa Koko

Anaongelea ubaya wa muungano Kwa watu wasiojua hata Zanzibar Iko wap,i sijui Mpwapwa sijui Iringa sijui wapi

Mwambieni huo ujinga wake wa kuponda muungano afanye mkutano Mbagala au Temeke au Tandika ambako watanganyika wapo wengi na wazanzibari wako wengi kama hajazomewa kama kibaka mwiba kuku.
 
Hapa ndio umemaliza kujibu hoja zake?
 
Tandika Mwembe Yanga

Your bomboclaat batman
 
Mm nafikiri hoja za Tindu Lissu, zinawapotezea watanzania muda.Hana hoja za, mashiko. Anatakiwa hawataje ma fisadi wa Tanzania wakiongozwa na Kikwete na Rostam Azizi walivyoliibia hili taifa pesa, nyingi sana. Lakin anaongea vitu vyepesi visivyo na maana. Nchi kama Zanzibar hata, tukihamia huko watanganyika wote hatutatosha. Ni nchi ndogo sana kama mkoa wa, Manyara. Mbona CDM haina hoja ya mafisadi kama zamani??
 
Tunashukuru sana kwa kutupa location ya walipo wazanzibari ili siku ya kuwarudisha kwenye nchi ikifika tusiwatafute sana
Pia si mlisema hawana machogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…