Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.
Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka, ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.
Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.