Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

Kuna kitu watu tunajisahahu, naamini kila upande upo sahihi kwa namna unavyo ona kufanya unachofanya, ila mwisho wa siku inabidi tuachane kuona kilicho sahihi. Tuunganishe mawazo yetu hata kama tuna mitazamo tofauti kulimaliza jambo kwa namna ambayo ni positive.. ila kukisha kuwa na mashindano hasa ya maneno ni mbaya sana. Napenda haki itendendeki napenda uhuru wa watu napenda taswila nzuri. Itumike busara pasipo kuchafua picha ya mbowe wala picha ya serikali
Napenda tu sheria. Mahakama zetu ziwe huru na sheria zisipindishwe. Haya ya kulambana miguu sio endelevu
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.

Kwani Lisu na Chadema Ni mke wa Mbowe? Mbowe si yupo Jela, si mtu mzima, anaweza Omba msamaha ndani ya dakika akatoka!

Kinachotafutwa hapa Ni suluhisho la Kudumu, Hivi unafikiri Mbowe Mjinga? Familia yake haimshauri? Kabisa ?

Kuna watu wameumbwa Kama Mbowe na wako hivyo siku zote na wataendelea Kuwa hivyo milele yote, Hakuna namna wala cha kuwafanya, na Wapo tayari kufa!
 
Sasa hata mkimpeleka huyo Mbowe jela kwa kesi ya kupika, mtapata faida gani! Zaidi tu mnaendelea kudarauliwa na Watanzania wenye akili timamu
Watanzania wenye akili timamu hawawezi Chaggadema
 
Unadhani kukaa jela hata siku moja ni mchezo! Nebda kajaribu! Nadhani huyu bwana keshajifunza kuwa mihemko huwa mwisho wake ni majuto!

Mbowe kukaa jela kwake siyo big deal kivile! Ameamua kujitoa sadaka kutetea kile anacho kiamini, kwa ajili ya Taifa lililo bomoka. Hata mimi ningefikia hatua kama ya kwake, ningekaa tu.
 
Napenda tu sheria mahakama zetu ziwe huru na sheria zisipindishwe. Haya ya kulambana miguu sio endelevu
Ni kweli, ila mfumo wa mahaka zetu si mfumo wa huru. kwasababu kuna connection ya kua under contro na muhimili mwingine, shida ipo hapo. Ifikie mahala kwa mazingira hayo kuwe na 50/50.. serikali inatumia nguvu na mamlaka yake isionekana imetoa boko na Mbowe nae anataki haki.. kuna ushindani hapo.. ila mwenye nguvu ni serikali.. mda usipotee busara itumukie wasilambane miguu.. mbowe awe huru akiwa clear na serikali nayo ichomoke kwa maslahi ya taifa.. 50/50 ila kukishakuwa na maneno mengi kila mtu anasema yes kuna pressure ya haki itendeke ila nao wanajiuliza how?
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Haki haiombwi, hata kenge huonekana mbishi Kwa kuonewa, anaamini katika kuipata haki yake
 
Watanzania wenye akili timamu hawawezi Chaggadema

Huna tofauti yoyote ile na Luten Urio. I remember you once upon the time! Siku hizi umekuwa kama kituko vile. Lazima utakuwa na wewe ulibinywa sehemu na akina Goodluck.

By the way mimi si Chadema. Mimi ni Mtanzania (Mtanganyika) tu Mzalendo.
 
Makengeza lazima atoke na mimba

IMG_20220219_073845.jpg
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Athari za risasi 16 siyo mchezo, huku ukiwa umedhulumiwa haki zako za ubunge na matibabu umenyimwa. Tuendelee kumuombea kwa Mungu apate utulivu wa akili ili achague mambo ya kuongea.

Kweli Magufuli alimuibua Tundu Lissu kura za Oktoba 2020, ila naona Lissu anaweza kuwa DIKTETA mbaya sana kuliko Magufuli. Mungu katuepusha kutoka kwa wote wawili.

Huwezi kuanika mambo uliyoongea na Rais kwenye vyombo vya habari unless umetumwa naye.
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Hivi huyu Lissu si ndio mlitaka awe raisi wetu...?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ni kweli, ila mfumo wa mahaka zetu si mfumo wa huru. kwasababu kuna connection ya kua under contro na muhimili mwingine, shida ipo hapo. Ifikie mahala kwa mazingira hayo kuwe na 50/50.. serikali inatumia nguvu na mamlaka yake isionekana imetoa boko na Mbowe nae anataki haki.. kuna ushindani hapo.. ila mwenye nguvu ni serikali.. mda usipotee busara itumukie wasilambane miguu.. mbowe awe huru akiwa clear na serikali nayo ichomoke kwa maslahi ya taifa.. 50/50 ila kukishakuwa na maneno mengi kila mtu anasema yes kuna pressure ya haki itendeke ila nao wanajiuliza how?
Jibu lao ni kufuata sheria bila mihemko na kushinikizwa. Hivyo tu itaonekana haki imetendeKa. Ndugu kumbuka kesi hii itakua reference kwenye kesi zijazo. Tusiposisitiza matumizi sahihi ya sheri tukawekeza kwenye kubembeleza, wapo watakaoumizwa na kunyimwa hakizao kwa kukosa wabembelejai/watakaowabembelezea. Sheria na uhuru wa mahakama zetu ndio viwe vita yetu kuu kwa maslahi mapana ya watanzania.
 
Giza lizidipo kukaribu na kucha!

Giza lizidipo pambazuko huwa Karibu.

Mwenyezi Mungu anapendezwa na haki .
 
Inawezekana kabisa Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya apikiwe kesi? Na nani! Takukuru, polisi au Hangaya?

Sabaya alikuwa ni mwizi, jambazi sugu na mporaji. Na ushahidi upo mpaka wa cctv camera! Sasa ukija kwa Mbowe; porojo tu ndiyo zimetawala. Sijui tumekamata note book ina michoro ya vituo vya mafuta! Sijui alituma hela! Sijui alipanga kukata miti na kuiweka barabarani!

Ujinga mtupu.
Subiri wenye akili High Court wakupe majibu. Maana unaleta ushabiki wa Simba na Yanga.
 
Lissu sio kiongozi mzuri..yaani angekuwa mtulivu mbowe angetoka mapema Sana.. lakini kwa ubabe huu wa Lissu na ujuwaji..mbowe atakaa Sana
Ni kweli mbowe Hana kosa.. lakini yupo gerezani Sasa..zitumike mbinu zote kumtoa mbowe..ujuwaji hausaidii chochote..
 
Kumbe maneno ya Lissu yanaweza kuathiri upatikanaji wa haki mahakamani.
 
Jamaa huyo nimlopokaji anaamini mazungumzo aliyofanya na raisi alifikri kwa maoni yake raisi angeingilia mhimili wa mahakama na kuifuta! Kesi tayari ilikuwa inasikilizwa na upelelezi umekamilika na vielelezo kutolewa hapo naona asubiri maamuzi ya mahakama na siyo kuweka kejeli kwa raisi na serikali yake.
Kuna watu hawataki kusikia Haya ulichokiandika hapa wengi low mind tu ndio wakurupukagi
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Pamoja na lawama kwa TAL Je kuna sehemu yoyote Jaji wenu kanukuu vifungu na sheria gani ambayo imetumika kuwaona FAM na wenzake wanakesi ya kujibu? Nadhani ni Tanzania pekee hapa hakuna kesi kuna maagizo. Kurasa 1500 kashindwa hata kusoma kifungu katia maamuzi utadhani anasoma gazeti la SANI. Hii lawama itakuja kummaliza SSH kisiasa vibaya sana kuna wahuni wanamtengenezea kizimba.
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Pamoja na wewe kuwa lawyer unaamini kuwa mahakama itafanya maamuzi kwa kutegemea nani anasema nini kwenye media?

Kama ndivyo vyombo vya haki na maamuzi vinavyofanya kazi ktk nchi hii basi kunahitajika kuuhuisha kila idara na mihimili yote.
 
Mbowe kukaa jela kwake siyo big deal kivile! Ameamua kujitoa sadaka kutetea kile anacho kiamini, kwa ajili ya Taifa lililo bomoka. Hata mimi ningefikia hatua kama ya kwake, ningekaa tu.
Nenda huko jela kaunge juhudi!
 
Back
Top Bottom