Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

Toka zako busara gani kwani ulikuweepo kwenye mazungumzo anayetakiwa kulalamika ni Samia sio wewe
 
Msome Mnyika sijui anaongea nini.

Tunataka haki na hatutaki huruma, hatutapiga magoti, kwani tukipiga magoti kumuombea Mwenyekiti Mbowe, tutawapa fursa ya kutangaza chama hiki (CHADEMA) ni chama cha magaidi, ni chama cha kigaidi, tuliwaonea huruma na tumewapa msamaha" @jjmnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA

Sasa mlienda kwa rais kufanyaje.
Walienda kwa Rais kudai haki wacha ujinga.

Rais kuwa na mamlaka haina maana kila ukienda kwake lazima ujipendekeze na kujishusha kama akili zenu waswahili mnavyodhani.
 
Walienda kwa Rais kudai haki wacha ujinga.

Rais kuwa na mamlaka haina maana kila ukienda kwake lazima ujipendekeze na kujishusha kama akili zenu waswahili mnavyodhani.
Rais ndiyo anatoa haki au mahakama?
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Kamkejeli wapi? Taja alivyomkejeli. Achà mawazo ya kufungwa , utwana na uyaya!
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema TunduALissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka,ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe
Kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Mpelekeni mkitaka muueni kabisaaa..Waovu wakubwa nyie msiokuwa na aibu.Jehanamu ya Moto inawasubiri..
 
Wen
Sasa hata mkimpeleka huyo Mbowe jela kwa kesi ya kupika, mtapata faida gani! Zaidi tu mnaendelea kudarauliwa na Watanzania wenye akili timamu
Wenye akili timamu ni nyie mliobebeshwa vichwa vya nyumbu?
Inashangaza saana kuona watu wenye aliki mkawa nyie tu.
Swala la kesi linahitaji hekima tu maana hata kama kwa kiasi kidogo mwamba lazima alitaka kufanya umafia na hilo halina ubishi kwani nae hujifanya mtoto wa mjini wakati umli umeenda.
 
Tatizo kubwa na Pro-Chadema ni mihemko na kushikiana akili kama jana wanaenda mahakamani na uhukumu umetoka nayo space umeishalishwa porojo mahakamani unakutana na habari mpya.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna vitu ni kinyaa hata kusoma. Kwa hiyo Jaji anaamua kulingana na hali ya Lisu au anaamua kwa mujibu wa sheria?
Kwa hiyo Rais na DPP wanaondoa kesi kwa hali ya Lissu na kunyenyekewa au wanaondoa kwa sababu haina ushahidi wa kutosha?
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.

Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka, ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Mbowe hatafuti huruma ya Raisi au mahakama ila wanacho taka nihaki itendeke, wewe kama wewe uliona ushahidi wowote wa mtu kujibu mashitaka, kama sio mbinu za kumuuliza na kuchelewesha harakati zake?
 
Nashangaa sana Lissu, kushikiwa akili na Maria
Kwanini mnaemwita gaid awaombe msamaha mnapenda kila kitu ati mpigiwe magoti kama mnavyoamfanyiana huko lumumba wacheni ujinga unafikiri kama jaji ametumia vifungu vya sheria unafikiri amgelimkuta na kesi ya kujibu.

Kwa uono wangu ndio hukumu hiyo wacheni ujinga kumbe mnajua mbowe hana kosa mnalotaka tu aombe msamaha bila ya kuwa na kosa. Mmempa kesi ya ugaidi hukumuni kama anakesi kisheria mfungeni na kma hana kesi kisheria mtamuachia.
 
Rais na mahakama ni mihimili miwili tofauti katika mfumo wa taifa letu,,, huwezi ukaongea na raisi ili aende kufanya maamuzi ya kimahakama, huo ni upungufu wa fikra... kilichofika mahakamani kinaamuliwa na mahakama.
Wewe ni mbumbumbu wa sheria.

Rais anaweza mfutia mashitaka mtuhumiwa yeyote nchini kupitia kwa DIRECTOR OF PUBLIC PROCECUTION (DPP).

Au akatoa Nolle procequi,kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikali.
kwa kesi ambayo upelelezi haujakamilika
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.

Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka, ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Mazungumzo ya Lisu na Rais hayaondoi ukweli kuwa Tanzania hatuna mahakama iliyo huru na inaoendeshwa na watu wenye weledi.

Mahakama zetu, ni afadhali mabaraza ya koo yanayoshughulika na utoaji wa haki kwa wanandugu.
 
Jamaa huyo nimlopokaji anaamini mazungumzo aliyofanya na raisi alifikri kwa maoni yake raisi angeingilia mhimili wa mahakama na kuifuta! Kesi tayari ilikuwa inasikilizwa na upelelezi umekamilika na vielelezo kutolewa hapo naona asubiri maamuzi ya mahakama na siyo kuweka kejeli kwa raisi na serikali yake.
Yeyote anayeongelea kuwa eti Rais kufuta kesi ya Mbowe, ni mwendawazimu, asiyeelewa mfumo wa mahakama ya Tanzania.

Mahakama imejwishaingiliwa kuanzia kwenye muundo wake. Jai anateuliwa na kuelekezwa na Rais, majaji ni wateule wa Rais, viongozi wote ni wateuliwa wa Rais, DPP anayefungua kesi kwa niaba ya Rais ni mteuliwa wa Rais.

Kwenye kesi hii, mlalamikaji ni Samia (kwa niaba ya Serikali), waendeshaji kesi (mawakili wanatoka ofisi ya mwanasheria mkuu wa Serikali, anayeteuliwa na Rais, kwa hiyo ni ofisi ya Samia), anayepanga jaji gani asikilize hii kesi ni msajili wa mahakama ambaye ameteuliwa na Rais (kiuhalisia ni mwakilishi wake), mtoa hukumu ni jaji aliyeteuliwa na Rais (kiuhalisia ni mwakilishi wake).

Tanzania hatuna kitu kimachoitwa mahakama huru. Mahakama ni idara tu ya Rais.
 
Msome Mnyika sijui anaongea nini.

Tunataka haki na hatutaki huruma, hatutapiga magoti, kwani tukipiga magoti kumuombea Mwenyekiti Mbowe, tutawapa fursa ya kutangaza chama hiki (CHADEMA) ni chama cha magaidi, ni chama cha kigaidi, tuliwaonea huruma na tumewapa msamaha" @jjmnyika, Katibu Mkuu wa CHADEMA

Sasa mlienda kwa rais kufanyaje.
katika makatibu hopeless ni huyu jamaa yaani hata haelewi kitu anachokifanya ndiyo maana mdee alimwambia alikuja na ndala chadema akakaa kimya hajawahi kumjibu
 
Wanaukumbi.

Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.

Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.

Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka, ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.

Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Ndugu pale hamna kesi, ni siasa za maji taka, muwe mnatumia akili ata kidogo mlizopewa na Mwenyezi, Mbowe alishatuhumiwa na mungu mtu wa nchi kwamba ni gaidi na wenzake washafungwa, we unategemea maamuzi gani kwa mahakama zetu hizi? .

Pia kumbuka chadema na Mbowe ni mwiba kwa watawala wetu hawa waliokwaisha lewa madaraka zipo mbinu chini ya kapeti toka zamani hasa ktk hawamu ya mwenda zake kuuwa kabisa upinzani hasa chadema, kwa habari yako mbowe ilishapangwa afungwe , na hiyo ni moja ya madhila wanayopitia wafuasi na viongozi wa upinzani hasa chadema, hizo nyingine ni propaganda zaifu mno kwa mwenye kufahamu siasa za kishamba za Taifa letu.

Ila kwa ufupi kama lisu alivyomwambia Samia hiyo kesi aina maslai yoyote kwa Taifa wala maccm, sanasana iazidi kuligawa Taifa na kuleta chuki, tena kwa mawazo yangu inazidi kuiimarisha chadema mbowe na kuwaleta pamoja, KESI YA MICHONGO, tafakari.
 
Mazungumzo ni mazuri sana, ila shida kesi inapicha mbaya yaani ina mapungufu mengi sana, ambayo yana onesha kuminya haki za watu na kuchafua taswila ya mtu. Lina mwisho wake ingawa sauti ni nyingi zinaongea

Solutions ya hapo ni majadiliano na sio ubishi na ujuaji, zito mnamuona mjinga Ila ana point kubwa Sana

Mbowe atafungwa na mtabaki mnalalamika tu
 
Back
Top Bottom