comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mkuu wewe ndiyo huyo hapo kwenye picha?Niliumia niliposikia kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu. Huu siyo mwelekeo mzuri.
Huyo Lissu asitegemee Kuna mwaka atakuwa rais wa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ndiyo huyo hapo kwenye picha?Niliumia niliposikia kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu. Huu siyo mwelekeo mzuri.
Huyo Lissu asitegemee Kuna mwaka atakuwa rais wa Tanzania
Mzee Mudi bwana. Akili utadhani ni pacha wa Zitto. Unajua hapa unamaanisha nini? Hapa unatuambia kuwa Mbowe hana kosa ila Lissu na wanaharakati ndiyo wataofanya afungwe jela! Ina maana mahakama za Tanzania zinaamua kesi kulingana na wanachosoma na kusikia kwenye mitandao! Ujinga mtupu mzee Mudi na Zitto! Ndiyo maana wenye akili wanasema wazi kuwa hii kesi ni kesi ya kuchonga na majaji ni majaji wa kuchonga na dhamira yake kubwa ni kukomoa! Upumbavu wa aina hii unatoka kwa mtu anayejifanya ni kiongozi wa chama cha upinzani na mzee kama wewe ambaye kila kukicha unasema waislam wanaonewa!Wanaukumbi.
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.
Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka, ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.
Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
vipi mkuu, usinijumuishe huko. Mie hayo mawazo yangu tu. Mie ni mtu huru.. nilichowaza kushindana na serikali.. kuna mawili uishinde ili uichafue au uivue nguo ( ambalo sio sahihi kwa maslahi mapana ya taifa), Mbowe ni muhimu tuhuma zidi yake ni kubwa na ni doa kwake.. je tuendelee kutunishiana misuli? jipu hapana, hekima itumike mbowe awe safi serikali ibaki na heshima yake hata kama imekosea au imejikosea heshima yenyewe kwa kuunda mashataka yenye kutia mashakaSolutions ya hapo ni majadiliano na sio ubishi na ujuaji, zito mnamuona mjinga Ila ana point kubwa Sana
Mbowe atafungwa na mtabaki mnalalamika tu
Mahakama zinatoa haki kwa kuangalia msimamo wa Rais.Rais ndiyo anatoa haki au mahakama?
Sema tena na tena ndugu yangu! Hawa hawana lolote ila wanataka wapigiwe magoti na kusifiwa kwa unafiki. Hivi mtu kama huyu mzee Mudi ni mtu wa kumuonea huruma Mbowe, eti anatoa ushauri wa nini cha kufanya ili Mbowe asifungwe? Hili ni lile lile kundi la kina Zitto. Wamezoea unafiki ili waendeshe maisha yao hivyo wakiona watu wanaokataa unafiki wanafadhaika!Tuna vijana wa hovyo sana nchi hii na tutachelewa sana kufikia maendeleo, vijana wamekuwa waoga kuliko kunguru
CCM Wamezoea maisha ya unafiki mdiyo wapate mlo wao, amani, haki, na uhuru wao sasa sii watu wote wenye akili za panzi hivyo
Sisi wengine maisha ya kupambana ndiyo maisha yetu always as long tinapambania tinacho amini ni haki yetu hatuitaji kumpigia mtu magoti
Pamoja na kuwa na tochi usoni lakini bado unaona giza?Labda kama moto unautengeneza wewe.
Ingie barabarani kama una uchungu au uchungu wako unaishia JF huku umejificha na Tecno yako.Sema tena na tena ndugu yangu! Hawa hawana lolote ila wanataka wapigiwe magoti na kusifiwa kwa unafiki. Hivi mtu kama huyu mzee Mudi ni mtu wa kumuonea huruma Mbowe, eti anatoa ushauri wa nini cha kufanya ili Mbowe asifungwe? Hili ni lile lile kundi la kina Zitto. Wamezoea unafiki ili waendeshe maisha yao hivyo wakiona watu wanaokataa unafiki wanafadhaika!
Mahakama zipi za tanzania labda za kenya tz mahakama magumashi full maagizo toka juuRais na mahakama ni mihimili miwili tofauti katika mfumo wa taifa letu,,, huwezi ukaongea na raisi ili aende kufanya maamuzi ya kimahakama, huo ni upungufu wa fikra... kilichofika mahakamani kinaamuliwa na mahakama.
Ndugu yenu yupo ikulu siku hizi wengi wenu mmefunga midomo yenu, nyie hovyo kabisa, mnajitia upofu wa macho na akili.Hizo fikra zako
Wewe ukiwadharau wao wanapungukiwa nini?Sasa hata mkimpeleka huyo Mbowe jela kwa kesi ya kupika, mtapata faida gani! Zaidi tu mnaendelea kudarauliwa na Watanzania wenye akili timamu
Wamepambana na vyote, substance na procedure kwa kuwa sheria ndivyo inavyotaka, lakini siku zote majaji wamekuwa wakiamua kulingana na maoni yao kwa kutupa procedure zote.Hii kesi kuna watu waliamua kudanganya watu kwa kutumia mitandao ili waone ni kesi ya kubambikwa...wenye akili tunajua kwenye kesi ya kubambika defence lawyers wangepambana na substance of the case siyo procedure...huwezi sema kesi ni rahisi kama vielelezo ulivyopinga vipokelewe vimekubaliwa....Katika fursa ya kujitetea mengi yataibuliwa na mawakili wa serikali watakuwa na nafasi ya kuhoji...kitu cha msingi ni kujipanga upya ili kupangua madai yatakayokuja mbeleni.
Wanaukumbi.
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike huwa kuna maana kubwa.
Lissu anatoka kuongea na kiongozi wa nchi na hapo hapo anakwenda space kuropoka, ajifunze diplomasia, Chadema wasipokuwa makini Lissu na waharakati njaa watampeleka jela Mbowe.
Tundu Lissu. busara lazima itumike; kejeli na ushabiki wa kwenye mitandao haumsaidii Mbowe kumkejeli Rais Samia, uliyemuomba kukutana nae kufanya mazungumzo ni kurudisha nyuma jitihada za kutafuta suluhu za kesi wanaharakati njaa wanamjaza upepo Lissu, na yeye unajaa povu anaropoka.
Niwe na uchungu gani mzee Mudi? Sina uchungu ila natetea haki. Tochi unayo usoni na kuona huoni?Ingie barabarani kama una uchungu au uchungu wako unaishia JF huku umejificha na Tecno yako.
Magufuli ndiye alikuwa na tabia hii. Pengine hata Zitto naweza kukubali ana tabia hii. Lissu ni mkweli na muwazi. Siyo kibaraka na mnafiki kama Zitto.Lissu ni ile jamii ya watu inayojiona ina akili sana na kujua kila kitu...Lissu anaamini yeye ana akili na kila mtu anapaswa kumsikiliza na kumtii maana anachokiongea yeye ndio sahihi..