Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Huo ni uongo uliokaa kwenye kiti. Wakati wa uchaguzi alisema yote, kwa nini iwe sasa? Na huyo anayejiita askofu aache kushuhudia mtu muongo.

Hujui mambo mengi kwa upeo wa juu. Uongo unathibitishwa, haukataliwi tu. Ungesema basi hakupigiwa hizo simu!
 
Sasa Mh. Lissu umekimbilia ubalozini jumapili wakati jumatatu ulisema utakuwepo ukiongoza maandamano?
 
Yani huyu jamaa balozi kama 3 zilimkataa, wajerumani wenyewe walimkataa baada ya kuona polisi ndo wakaona isiwe lawama, sasa mtu unakimbilia Jumapili ubalozini wakati una maandamano jumatatu asubuhi unakamatwa alafu unaachiwa unarudi tena kukimbilia ubalozini hahaha
 
Wewe kweli ni nzige! Hujui mambo mengi kwa upeo wa juu. Uongo unathibitishwa, haukataliwi tu. Ungesema basi hakupigiwa hizo simu!
Wafuasi wa Lisu, lazima muelewe Lisu anatumia taaluma yake kujihami na kutengeneza tuhuma ili kuionyesha dunia kuwa hatendewi haki.
 
Kuhusu swala la kuzimiwa mtandao, kwani wewe ulizaliwa na mtandao?? Ukae ukijua mtandao unazimwa kwa sababu za usalama na hiyo inapunguza uchochezi, filigisufiligisu na njama mbaya za baadhi ya wapinzani zinazoendelea kupangwa huko mitaani.
 
Hapana nikwasababu mmejawa na roho ya shetani. Hata last time mlibisha sana hivi mitandaoni kabla hamjaenda kummiminia risasi kule dodoma
Toka Kagoshima uridi Dar, Moro, Arusha or upareni. Bro, Mama alisha sema kama ile kazi ingekuwa ya serekali mngekuwa mnaita Marehemu ndio jina lake lifuate.
 
Ametafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Kuwa mtu basi hata for some moments, kumbuka aliwahi kulalamika anafatiliwa akapuuzwa, na ikasemwa ni kutafuta umaarufu, hatimaye akapigwa risasi.

Uchunguzi tu mpaka leo haujafanyika.

Sawa unaweza kuwa mnufaika wa hali iliyopo lakini haina maana uwe unawahi kuandika andika kuhimiza watu kuwa hali iliyopo na kinachoendelea kwa baadhi ya watanzania ni sawa.

Kama hatuwezi kuheshimu haki za binadamu na rule of law, unadhani tunaelekea wapi?
 
Kuna waliokiuka sheria za uchaguzi kuwashinda ccm??muulize ushahidi
 
Ametafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Huku Pemba watu wanauliwa na majeshi ya wavamizi na majeshi ya kukodi kutoka Burundi. Watu wengi wako magerezani hasa viongozi wa ACT Wazalendo. Na huko wanaendelea kuteswa
 
Wewe ukipita ukaniacha mm nakufa haimaanishi kuwa sitapata msaada. Na hata nikifa nitazikwa tu bila msaada wako.
Ndio hivyo,sina huruma kabisa na watu makatili kama ninyi!
Nyuzi za Tanzia hapa nazisubiri kwa haku nikamwage sumu!
 
Kumbe Lissu sio raia wa Tanzania!! Eti anasema, "Nilifuatwa na police WA Tanzania " badala ya kusema police WA nchi yangu!! Shame on him!! Alitaka kutuuza nyau huyu


Hawa ni raia wa Zanzibar mumekuja kuvamia na jeshi lenu la Tanganyika na kutuuwa huku mkishirikiana na majeshi mliyoyakodi kutoka Burundi


WALIOUWAWA NA POLISI ZANZIBAR WAONGEZEKA.

RIPOTI YA HALI YA MKOA WA MICHEWENI KWA USIKU WA JANA TRH 26/10/2020.

1.Hamad Khamis Hamad mkaazi wa Makundaani jimbo la Wingwi miaka 25 Amepigwa risasi ya Mkoni

2. Abdallah Nassor Mbarouk miaka 30 mkaazi wa Mchepewe jimbo la Wingwi Amepigwa risasi na amefariki dunia

3.Ali Said Kombo miaka 35 mkaazi wa Kinazini jimbo la Wingwi Amepigwa risasi ya Shingo

4.Hamad Amour Abdalla miaka 35 mkaazi wa Sizini jimbo la Wingwi amepigwa risasi ya paja na kutokea upande wa pili

5.Abdalla Hamad Miaka 34 mkaazi wa Tumbe Mbuyuni amefariki kwa kupigwa risasi

6.Mustafa Haji Shaame miaka 30 mkaazi wa Tumbe Kaliwa jimbo la Tumbe ni majeruhi amepigwa risasi

7.Masoud Salim Fadhil miaka 16 mkaazi wa Mafya jimbo la Wingwi amefariki dunia kwa kupigwa risasi ya Tumbo

8.Khator Kombo Bakar miaka 22 Mkaazi wa Shumba Mjini amekamatwa usiku wa jana huko Shumba Mjini

9.Shehe Mahmoud miaka 50 Mkaazi wa Chamboni Shumba Mjini nae pia alichukiliwa usiku wa jana.


Kombo Mwinyi Shehe.

Katibu wa haki za Binadam

Mkoa wa Micheweni kichama.
 
Ni mvinyo uleule ndani ya chupa mpya. Lengo ni kuingiza watu barabarani na kuvuruga amani yetu. Lissu anautaka Urais either kwa shari ama kwa amani.
Mwacheni aondoke basi ili asiwanyang'anye uraisi
 
Kuna simba na yanga wakati ndugu zetu wanaendelea kuuliwa na majeshi ya wavamizi na jeshi la kukodi kutoka Burundi?
Mkuu poleni sana nyie ni ndugu zetu. Vyombo vyote vya habari ni mechi ya simba na yanga hakuna anayezungumzia ya zanzibar
 
Mtoto wa dada alisharopoka Siri ya kikao cha familia kupitisha hukumu.

Kuwatetea watu masikini ni kuweka rehani maisha yako. Awaache masikini wapambane na Hali zao, cha kufia nini, arudi Akatafute kazi au chuo afundishe afrika sisi Bado Sana kujiongoza
 
Mkuu poleni sana nyie ni ndugu zetu. Vyombo vyote vya habari ni mechi ya simba na yanga hakuna anayezungumzia ya zanzibar
Wanamuogopa Mfalme huhihui hawana cha kuongea huku jeshi la kivamizi na majeshi ya kukodiwa yakiendeleza mauwaji na mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…