Huo ni uongo uliokaa kwenye kiti. Wakati wa uchaguzi alisema yote, kwa nini iwe sasa? Na huyo anayejiita askofu aache kushuhudia mtu muongo.
Hujui mambo mengi kwa upeo wa juu. Uongo unathibitishwa, haukataliwi tu. Ungesema basi hakupigiwa hizo simu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uongo uliokaa kwenye kiti. Wakati wa uchaguzi alisema yote, kwa nini iwe sasa? Na huyo anayejiita askofu aache kushuhudia mtu muongo.
Yani huyu jamaa balozi kama 3 zilimkataa, wajerumani wenyewe walimkataa baada ya kuona polisi ndo wakaona isiwe lawama, sasa mtu unakimbilia Jumapili ubalozini wakati una maandamano jumatatu asubuhi unakamatwa alafu unaachiwa unarudi tena kukimbilia ubalozini hahahaNjama, hila na ulaghai wa Lissu umeshajulikana. Yaani kipindi chote cha kampeni hakukuwa na tishio, iweje baada ya Uchaguzi awe anatishiwa?
Asichofahamu ni kudhani alikuwa anapendwa na watanzania kumbe wananchi walikuwa wanaenda kwenye kampeni zake kumfurahisha maana alikuwa anataka Kura za huruma.
Uzuri ni kuwa hata hao Wazungu anawalilia sasa hivi wameshamfahamu kwamba ana matatizo ya kisakolojia.
Wafuasi wa Lisu, lazima muelewe Lisu anatumia taaluma yake kujihami na kutengeneza tuhuma ili kuionyesha dunia kuwa hatendewi haki.Wewe kweli ni nzige! Hujui mambo mengi kwa upeo wa juu. Uongo unathibitishwa, haukataliwi tu. Ungesema basi hakupigiwa hizo simu!
Kuhusu swala la kuzimiwa mtandao, kwani wewe ulizaliwa na mtandao?? Ukae ukijua mtandao unazimwa kwa sababu za usalama na hiyo inapunguza uchochezi, filigisufiligisu na njama mbaya za baadhi ya wapinzani zinazoendelea kupangwa huko mitaani.Hata ka mimi ningekua Lissu ningeondoka. Nchi hii ya nyani imejaa wanafiki watu mnaibiwa mnaitwa kuandamana kudai haki yenu mnakaa kabisa na kusema aende mwenyewe akafe. Hivi mnategemea akisimama mwenyewe bila wananchi kumuunga mkono ataenda popote?
Sijaona nchi ina nyani waoga kama Tanzania, sio nchi hii ni choo kimejaa mavi tu. Na mimi naondoka very soon shenzi mbaki na mitandao mmezimiwa wala hamna mtu wa kuquestion hta moja. Siku tako likiamka asububi likajisiki kurudisha litapiga simu liseme haya rudishia hao nyani mawasiliano then mtakaa kushukuru ahsante sana mungu jiwe. Nchi ya kishenzi, watu wake washenzi. I’m done
Toka Kagoshima uridi Dar, Moro, Arusha or upareni. Bro, Mama alisha sema kama ile kazi ingekuwa ya serekali mngekuwa mnaita Marehemu ndio jina lake lifuate.Hapana nikwasababu mmejawa na roho ya shetani. Hata last time mlibisha sana hivi mitandaoni kabla hamjaenda kummiminia risasi kule dodoma
Kuwa mtu basi hata for some moments, kumbuka aliwahi kulalamika anafatiliwa akapuuzwa, na ikasemwa ni kutafuta umaarufu, hatimaye akapigwa risasi.Ametafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Wamechoka amri za kiuonevu,soma vizuri uziHivi mtu mwenye njia ya kukudhuru anakuambia kabisa jiandae nakuja kukumaliza/kukudhuru kama unaweza jiokoe
Acheni usanii
Kuna waliokiuka sheria za uchaguzi kuwashinda ccm??muulize ushahidiKwani wewe ulikuwa hujui kuwa Lissu ni mkimbizi aishie Ubelgiji na alikuja hapa nchini kuhamasisha vurugu kwenye uchaguzi wa 2020 kwa kuambiwa na mafisadi na wezi wa rasilimali zetu na ndiyo maana alikuwa anavunja sheria za uchaguzi kila mara lakini polisi na serikali ya TZ ilimwacha tu ili watz wasio na hatia wakaumia bure.
Huku Pemba watu wanauliwa na majeshi ya wavamizi na majeshi ya kukodi kutoka Burundi. Watu wengi wako magerezani hasa viongozi wa ACT Wazalendo. Na huko wanaendelea kuteswaAmetafuta justification ya kuhalalisha kuishi Brussels. Nani ahangaike na Lissu wakati huu ambapo hana madhara. Labda ndani ya CHADEMA huenda anatishia uenyekiti wa mtu ambapo ni sawa na uhaini.
Ndio hivyo,sina huruma kabisa na watu makatili kama ninyi!Wewe ukipita ukaniacha mm nakufa haimaanishi kuwa sitapata msaada. Na hata nikifa nitazikwa tu bila msaada wako.
Ndoto ya Lema nayo inachelewa kweli!BABAKO ANGESHAMBULIWA KWA LISASI KIASI KILE NA KUPEWA ULEMAVU NDIO UNGEJUA SERIES ZA ISIDINGO.
PUMBAVU.
Kumbe Lissu sio raia wa Tanzania!! Eti anasema, "Nilifuatwa na police WA Tanzania " badala ya kusema police WA nchi yangu!! Shame on him!! Alitaka kutuuza nyau huyu
Mwacheni aondoke basi ili asiwanyang'anye uraisiNi mvinyo uleule ndani ya chupa mpya. Lengo ni kuingiza watu barabarani na kuvuruga amani yetu. Lissu anautaka Urais either kwa shari ama kwa amani.
Mkuu mtafanyaje sasa, leo simba na yanga wanacheza
Mkuu poleni sana nyie ni ndugu zetu. Vyombo vyote vya habari ni mechi ya simba na yanga hakuna anayezungumzia ya zanzibarKuna simba na yanga wakati ndugu zetu wanaendelea kuuliwa na majeshi ya wavamizi na jeshi la kukodi kutoka Burundi?
Wanamuogopa Mfalme huhihui hawana cha kuongea huku jeshi la kivamizi na majeshi ya kukodiwa yakiendeleza mauwaji na matesoMkuu poleni sana nyie ni ndugu zetu. Vyombo vyote vya habari ni mechi ya simba na yanga hakuna anayezungumzia ya zanzibar