Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

Na 5 sawa kabisa kwa mfano TL ni mkristo lakini ktk maoni yake amewakosoa Israel katka vita na Hamas akimaanisha haki na upendo kwa binadamu wote
 
Kuikomboaje wakati nchi iko vizuri tuu?
Amani imetawala,kazi zinaenda
All good!
 
1. Mkuu kwani tofauti yako na huyo niliyekuunganisha naye ni nini? Majina?

2. Nini Imani Yako kumhusu Palestina? Huwezi kupinga Palestina usiwe na mawazo kama huyo mjinga kumhusu LGBTQ.

3. Nimwombe Chakaza kumfunda huyu ndugu hajui ana simama wapi. Anajaribu kupita njia mbili wakati mmoja!

Zaidi unasumbuliwa na vimelea vya kidikteta, tangu jana nimekuona, kile unachotaka wewe ndio lazima kiwe, ukipingwa, unamfukuza mwenzio chamani!.

1. Huna weledi, elimu, heshima wala uwezo wa kuwapinga Lissu, Nyerere, Mandela, na wa namna hIyo.

2. Kukufahamisha kuwa kauli ya Lissu ni kauli ya CHADEMA na ujue hivyo utake au usitake. Kumbuka Lissu ana dhamana ya chama wewe huna!

Kama unaona mambo ni mepesi hivyo, mwambie Lissu muanzishe chama chenu, then uwachukue ndugu zako na marafiki zako uwapendao, uwape hilo somo lako la imani na msimamo, ili muishi pamoja milele!.

1. Chama hatuanzishi ila mtatoka nInyi.

2. Demokrasia nini kwani? Tutataka uchaguzi na wazi wazi tutawananga na kuwataka mtoke. Bila kuangalia nyuso zenu.

----
Allen Kilewella, Chakaza tuwasaidie hawa ndugu, umri, elimu, exposure, uzoefu changamoto!
 
Nazidi kuthibitisha vile ulivyo changanyikiwa!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Na 5 sawa kabisa kwa mfano TL ni mkristo lakini ktk maoni yake amewakosoa Israel katka vita na Hamas akimaanisha haki na upendo kwa binadamu wote

Maoni yako ni ya kusikitisha:

"5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake."

Ulitaka:

"TAL awe mbinafsi, mnafiki, amung'unye maneno, asiwe ameelimika na asijue namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake?"

Wewe ni mkristo dhehebu gani ndugu? Kimbia haraka sana kutoka huko.

Unayoyataka ubinafsi, uongo, hila n.k, ni machukizo Kwa Kristo!
 
Nazidi kuthibitisha vile ulivyo changanyikiwa!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

1. Thibitisha kuwa nimechanganyikiwa.

2. Ninaona wewe umechanganyiwa.

Uthibitisho:

"Umeshindwa kujibu hoja yΓ ngu hata moja pqmoja na kukusihi mno kujikita kwenye mada."
 
Kuikomboaje wakati nchi iko vizuri tuu?
Amani imetawala,kazi zinaenda
All good!

Sishangai kuwa wewe unaweza kuwa hata ni Chadema hii ya wapinga Palestina, Ukraine, LGBTQ nk. au kuwa wakuunge mkono.

Kwamba labda hujui nini maana ya haki, usawa, uhuru au demokrasia wewe si utakuwa sawa na kondoo tu?
 
Kuna ulioqataja hapo ndiyo wanaokwamisha
 
Kuna ulioqataja hapo ndiyo wanaokwamisha

Hawapo wanaokwamisha hapo. Wengine wamejikatia tamaa. Hao wote wanao weledi na nia na wamekwisha onyesha hivyo.

Kwa hakika hayupo hapo aliye dhoofu hata mmoja!
 
Hawapo wanaokwamisha hapo. Wengine wamejikatia tamaa. Hao wote wanao weledi na nia na wamekwisha onyesha hivyo.

Kwa hakika hayupo hapo aliye dhoofu hata mmoja!
Inawezekana wana weledi Lakini maadili yao yanatiliwa shaka.

Ngumu sana kumwamini mtu kama Zitto kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.
 
Kama zitto??

Mkuu hao wamejikatia tamaa tu. Lakini hao wanao weledi kuliko wengi wanaojimwambafy bure.

Tuanzie hapa;

"Uhuru, haki, usawa na demokrasia."

Tuweke falsafa na imani. Misimamo itafuata. Kwenye listi hIyo hayupo mnyonge.
 
Inawezekana wana weledi Lakini maadili yao yanatiliwa shaka.

Ngumu sana kumwamini mtu kama Zitto kwenye harakati za kuitoa CCM madarakani.

Tuache ramli chonganishi. Tutambue hakuna rafiki Wala adui wa kudumu. Nani messiah wa kumjua nani ni nani? Tuwapime watu kutokea Mahalia.
 
Zitto kimaadili ni mnyonge sana!!!

Niko tayari kurekebishwa!!

Angalia timu hii:

"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."

Kwa hakika tunavuka.

Acheni ramli chonganishi.
 
Tuache ramli chonganishi. Tutambue hakuna rafiki Wala adui wa kudumu. Nani messiah wa kumjua nani ni nani? Tuwapime watu kutokea Mahalia.
Hapana Kwa Zitto siyo ramli Bali ni Uhalisia.

Zitto siyo siyo mtu wa kuaminika kwenye ushirika wa kuitoa CCM madarakani.

Zitto ni mbinafsi mno na mtu mwenye hisia za kisasi dhidi ya wanasiasa wenzie nje ya CCM. Ni rahisi kwake kufanya Siasa na CCM kuliko CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…