Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

Watanzania wa leo sio wa enzi za mwalimu wakuambiwa maadui wao wa ndani na nje. Wanawajua na wewe unavigezo vya kuwa adui
 
Hiyo namba ya simu utaweka sana hakuna atakaekupigia kwa ajili ya kupata post za uongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waziri wa CCM alienda kuweka mikataba kwenye hotel Uingereza na madudu mengine ya kupitisha mswada wa dharula kuhusu gesi ni viongozi wa CCM kupitia serikali yao hawajaanza Jana wala juzi na ndio chanzo cha umasikini Tanzania...tumieni akili kidogo kuleta hoja zenye mashiko...
 
Povu kibao kama umebwia foma?naona njaa imekupanda kichwani
In God we Trust
 
Nakuunga mkono kwa 100%
In God we Trust
 
Jiwe amekusikia. Atakukumbuka hata kwa nafasi ya Mtendaji was Kijiji. Kilangila.
 
Wonders shall never end!!!! Kuna post nyingine unasoma hadi unajisikia aibu!!! Tanzania nchi yangu[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mkeo ataona aibu kusoma utumbo huu. kilangila.
 
Jina lenyewe chimwinga tayari ni tatizo

Lissu anamfanya yule jinga lenu hapati usingizi

Ninasave hii post yako kwa matumizi ya baadae

NB:- Jifunze kuandika vizuri ndio uwe unapost humu unatupa shida kusoma na kuelewa
 
Baba mbona povu namna hii. Hatudanganyiki ccm ndo vibaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa Lisu anatumiwa na mabeberu kununua korosho zilizosababisha kushuka kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania.Huyu Lisu huyu sio wa spoti spoti
 
Mpaka kesho tumepata nini kwa Barrick wakati acacia wanapiga center half ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kukujibu [emoji107]. Ni watu fulani hivi wanaojikomba bila hata kuangalia athari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…