Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

Naombea John Heche naye awe mmoja wa wanaogombea hiyo nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA.

Analeta matumaini matumaini makubwa sana katika siasa za upinzani Tanzania.
Angekuwa mh Heche wal anisingekuwa na hofu kabisa
 
Kama ameamua kuleta challenge aka chemsha bongo Kwa dhamira ya dhati hakuna shida ni sehemu ya maisha.

Kama anaagenda ya kwenda CCM pia hamna shida ni uamuzi wake na hatma yake, wapo wengi waliokwenda CCM akiwemo Dr Slaa, Dr Warid Aman Kabourou nk.

Upinzani dhidi ya CCM inaendelea hata bila vyama vya upinzani.
 
Chawa wa Mbowe leo mtalala na viatu kudadeki.
 
Mkuu una miaka mingapi? 😀
 
Kunguni wa Mwenyekiti washaingia kazini.

Nyinyi CDM Hamuwezi pewa hii nchi ***** mnaudikteta sugu.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Mbowe kaka sana kwenye hiyo nafasi lkn pia jiulize ni mangapi kayafanyia CDM ?
Kwamba asipishe mwingine sababu ya aliyoyafanya? Wengine si watafanya pia? Au hawawezi ni Mbowe tu ndo anayeweza kukitumikia chama kama mwenyekiti?
 
Mnakula nyie na kundi lenu Kila mwezi desemba mnaenda Moshi nyumbani kwa mwenyekiti mnachoma nyama bia na konyagi kwa ruzuku ya Chama.sasa basi mbowe amefika mwisho aondoke.
 
Msije mkatuulia Tundu Lissu wetu.
 
Hizo ni hisia zako! Lissu angetaka kuhamia CCM angekuwa ameshafanya hivyo!
Lissu ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti.
Ila wale waliokuwa wananufaika na Mbowe kuwa Mwenyekiti ndiyo wanaopata taabu.
Wanachadema mkubali mabadiliko kwa maslahi mapana ya Chama chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…