Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Sawa mzima wewe hata wewe mwenyewe hapo ni mgonjwa unaamka umechooka kila siku huku macho kusoma vocha unashindwa wahi tiba
 
Medical check up is necessary especially after a person has endured a torrid time under the massive operations that he has endured .
 
Kwahiyo siku hizi kuwa na ticket ya kwenda ng'ambo ni story? Kweli CCM ya sasa imechoka hata kama anakwenda kwa matibabu bora yeye iko wazo sio baadhi ya viongoz kutoka kwenu huko wenye migonjwa mikubwa na ya kutisha mwingine mpaka bili yake tu kukaa muda mfupi South Africa ilikua zaidi ya million 30 ambazo ni kodi za hao mnaowaita wanyonge
 

Bora ulemavu wa mguu kuliko ULEMAVU WA AKILI
 
Tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba.
Very true brother!

Miaka mitano iliyopita kuna watu walisema Lowassa ana muda mchache wa kuishi hivyo hafai kuchaguliwa lakini miongoni mwa hao watu wapo ambao wameshamtangulia kufa na yeye bado yupo.

Uzima au kifo vipo mikononi mwa Mola na hilo tumekumbushwa kwa mara nyingine kupitia huyu huyu Tundu Lissu.
 
Kama alipigwa risasi kwa amri ya Rais, huyo Rais anashindwa kumpiga sasa hivi mwambie huyo pimbi watanzania sio wajinga.
 
Haya bwana
 
Vipi kuhusu afya ya akili mkuu?
 


Ha ha ha ha na yulee anaenda garage kila baada ya week je??
 
Lissu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usingerudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyorudi ulivyoshuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapolala unalindwa na Askari wa Tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako waliokukosa?!?! Lissu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!! Inawezekanaje!! Huo ni uongo mtupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…