Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Sawa mzima wewe hata wewe mwenyewe hapo ni mgonjwa unaamka umechooka kila siku huku macho kusoma vocha unashindwa wahi tiba
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Medical check up is necessary especially after a person has endured a torrid time under the massive operations that he has endured .
 
Kwahiyo siku hizi kuwa na ticket ya kwenda ng'ambo ni story? Kweli CCM ya sasa imechoka hata kama anakwenda kwa matibabu bora yeye iko wazo sio baadhi ya viongoz kutoka kwenu huko wenye migonjwa mikubwa na ya kutisha mwingine mpaka bili yake tu kukaa muda mfupi South Africa ilikua zaidi ya million 30 ambazo ni kodi za hao mnaowaita wanyonge
 
1603514018084.png
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.

Bora ulemavu wa mguu kuliko ULEMAVU WA AKILI
 
Tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba.
Very true brother!

Miaka mitano iliyopita kuna watu walisema Lowassa ana muda mchache wa kuishi hivyo hafai kuchaguliwa lakini miongoni mwa hao watu wapo ambao wameshamtangulia kufa na yeye bado yupo.

Uzima au kifo vipo mikononi mwa Mola na hilo tumekumbushwa kwa mara nyingine kupitia huyu huyu Tundu Lissu.
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais, na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Kama alipigwa risasi kwa amri ya Rais, huyo Rais anashindwa kumpiga sasa hivi mwambie huyo pimbi watanzania sio wajinga.
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Haya bwana
20201024_074416.jpg
 
Vipi kuhusu afya ya akili mkuu?
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa watanzania hawawezi kumchagua mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa rais. Jukumu la urais linahitaji mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.

Ha ha ha ha na yulee anaenda garage kila baada ya week je??
 
Lissu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usingerudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyorudi ulivyoshuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapolala unalindwa na Askari wa Tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako waliokukosa?!?! Lissu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!! Inawezekanaje!! Huo ni uongo mtupu!!
 
Back
Top Bottom