Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Hivi huyo anaesingiziwa kutoa amri mbona hakanushi hilo au kumchukulia hatua za kisheria kwa kusingiziwa?
 
Wewe mpu.uzi tulia hapo ulipo ukipimwa unapewa kitanda. Idiot.
 
Lissu hakupaswa kugombea urais mwaka huu hadi afya yake itengamae. Inaonekana wazi kabisa afya ya Lissu bado sio nzuri na inawezekana akalazwa muda mrefu zaidi kuliko mwanzo......sasa inawezekenaje kumchagua mgonjwa ktk hali hiyo!!!
namshauri apumzike hadi 2025 huenda atakuwa amepona vizuri
 
Hivi huyo anaesingiziwa kutoa amri mbona hakanushi hilo au kumchukulia hatua za kisheria kwa kusingiziwa?
hizo ni siasa...kama kungekuwa na ukweli si angesema tangu mwanzo....iweje atamke wakati huu wa kampeni...., hizo ni kauli au propaganda za kisiasa haziaminiki
 
Magufuli mbona anatembea na betri kwenye moyo wake?
 
Hapo kwenye kusema alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli hata yeye anajua sio kweli ila imekua kitu cha kisiasa zaidi. Uchaguzi upite kesi uendelee tutasikia mengi na yenye ushahidi
 
Jiwe ni mgonjwa zaidi.. ndo maana mara nyingi amekuwa akikatisha kampeni kwenda kukarabatiwa. Lissu alikatisha mara moja tu alipozuiliwa na tume
 
Na huyo wa kwenu mbona anaongoza na ukimwi wake
 
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!!
Kwani ametuhumu viongozi gani? Amemtuhumu mmoja tu, jiwe, baasi.
Kwani jiwe alienda kumuona?

Ww unafikiri ni kwa nini jiwe alimnyima HAKI ya kulipiwa matibabu?!
 
Hamukosi sababu. Kwani JPM ni mzima? Wewe je, uko mzima 100%? Maradhi mmempa ninyi halafu mnamdhihaki? Ninyi siyo watu.
 
Hamukosi sababu. Kwani JPM ni mzima? Wewe je, uko mzima 100%? Maradhi mmempa ninyi halafu mnamdhihaki? Ninyi siyo watu.
 
Jiwe ni mgonjwa zaidi.. ndo maana mara nyingi amekuwa akikatisha kampeni kwenda kukarabatiwa. Lissu alikatisha mara moja tu alipozuiliwa na tume
Ugonjwa usiomzuia mtu kufanya kazi hauna shida.
Kikubwa hospital zetu ziendelee kuboreshwa kila mtanzania apate huduma zote ndani ya nchi
 
sasa akiondoka anarudii lini ...au ataondoka akishindwa uchaguzi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…