Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Kuhudhuria clinic ya matibabu ni jambo la kawaida.

Uzuri kamlipua kuwa yeye ndio alitoa amri apigwe risasi.

Hii inaitwa akuanzae,mmlalize.
Hapo TL anajaribu kila njia ili akamatwe awe fonti fedi ubelgiji. Starehe yake ni kumuacha aongee tu mpaka acheue. Wala wasimbugudhi kabla ya jumatano.
 
Kwani mzee meko we unamuona ni mzima kiafya?
 
Kama akifanikisha kuiua CCM hata akiondoka moja kwa moja na asirudi siye kwetu poa tu.Tutajua jinsi ya kufanya.
 
Mbona huyu ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa hadi anatembea na feni kupoza mwili utadhani rejeta inavuja?
Lissu ni mzima kiakili na hilo ndio tunataka, maradhi ya mifupa iliyo vunjwa vunjwa hayana athari na ofisi
 
atleast ugonjwa wake hauja affect his thinking capacity, reasoning & IQ
 
Mbona huyu ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa hadi anatembea na feni kupoza mwili utadhani rejeta inavuja?
Lissu ni mzima kiakili na hilo ndio tunataka, maradhi ya mifupa iliyo vunjwa vunjwa hayana athari na ofisi
hahahahaha mwambie huyo
 
Ulemavu huwa unapona?
Wewe ni kilaza
Rais ahitaji afya pekee
Anahitaji akili nzuri
 
Punguani mkubwa
 
Lakin magu ana matatizo pia, umesahau ile issue ya moyo mpaka akatoweka hadhani kule dodoma?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kweli jamii forum, imekwisha zama zake inawatu wapumbavu kinoma kama wewe, kwa iyo ulemavu wa viungo ni tatizo kwako? Kinachoangaliwa ni Afya ya akili ulemavu wa viungo vingine vya mwili wa mtu wewe unakupunguzia nini au unakusaidia nini ,
 
Bora huyo anaumwa miguu, we we na yule maoumwa akili ni Hatari kuliko corona!
 
#HujafaHujaumbika muombe sana mungu hakusamehe mkuu akupe BUSARA
 
Huyo anayetembea na mafeni kila mahali ni mzima sio? Nyambafffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…