Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Anaumia ndio!Kwa afya yake na jinsi alivyoumia na mifupa kusagika, bado atakuwa chini ya uangalizi mrefu. Ninaami hapo alipo ana maumivu fulani ila anajikaza kwa sapoti ya dawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaumia ndio!Kwa afya yake na jinsi alivyoumia na mifupa kusagika, bado atakuwa chini ya uangalizi mrefu. Ninaami hapo alipo ana maumivu fulani ila anajikaza kwa sapoti ya dawa.
"kwaiyo baada ya uchaguzi akishaingiza watoto wa watu barabarani yeye Lissu atasepazake akale bata ubelgiji kwakisingizio cha matibabu?"Kwani uchaguzi ni December???
Hapo TL anajaribu kila njia ili akamatwe awe fonti fedi ubelgiji. Starehe yake ni kumuacha aongee tu mpaka acheue. Wala wasimbugudhi kabla ya jumatano.Kuhudhuria clinic ya matibabu ni jambo la kawaida.
Uzuri kamlipua kuwa yeye ndio alitoa amri apigwe risasi.
Hii inaitwa akuanzae,mmlalize.
Kwani mzee meko we unamuona ni mzima kiafya?Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Mbona huyu ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa hadi anatembea na feni kupoza mwili utadhani rejeta inavuja?Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
atleast ugonjwa wake hauja affect his thinking capacity, reasoning & IQKwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
hahahahaha mwambie huyoMbona huyu ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa hadi anatembea na feni kupoza mwili utadhani rejeta inavuja?
Lissu ni mzima kiakili na hilo ndio tunataka, maradhi ya mifupa iliyo vunjwa vunjwa hayana athari na ofisi
Ulemavu huwa unapona?Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Lakin magu ana matatizo pia, umesahau ile issue ya moyo mpaka akatoweka hadhani kule dodoma?Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kweli jamii forum, imekwisha zama zake inawatu wapumbavu kinoma kama wewe, kwa iyo ulemavu wa viungo ni tatizo kwako? Kinachoangaliwa ni Afya ya akili ulemavu wa viungo vingine vya mwili wa mtu wewe unakupunguzia nini au unakusaidia nini ,Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Bora huyo anaumwa miguu, we we na yule maoumwa akili ni Hatari kuliko corona!Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
#HujafaHujaumbika muombe sana mungu hakusamehe mkuu akupe BUSARAKwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Huyo anayetembea na mafeni kila mahali ni mzima sio? NyambafffffKwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kuna watu uzima unawadanganya sanaTukanyage kwa adabu ardhi ya Muumba.
Msukule wa JPM