The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Muongo huyo
MUONGO HUYO! Alipigwa risasi 16 za NDEGE na wenzake ndani ya chama chao kama sehemu ya kugombea madaraka ya UENYEKITI na pia kama njia ya kumfanya aende Ulaya kupanga huu mkakati wa kuja kuvuruga nchi, kwani ilikuwa vigumu sana kuyapanga haya wakati akiwa Bungeni , akiendelea na Ubunge wake; kwani asingeweza kutoka kwa muda mrefu waliokuwa wakihitaji hao mabeberu kwa ajili ya "kumtengeneza na kumtayarisha" kwa kuvuruga uchaguzi wetu. Pia walihitaji muda wa kutosha kwa ajili ya kumwekea vyuma na vifaa vya mawasiliano mwilini mwake, kumhakikishia pesa za uchaguzi, pesa za kuishi yeye na familia yake na pia makazi mapya baada ya kukamilisha MISHENI yake hapa nchini. Misheni ambayo IMEMSHINDA.
Na siku za nyuma tuliwambia kuwa mwenzenu anayo makazi Ubelgiji, mkatutukana humu JF lakini leo Lissu kategua hicho kitendawili. HALAFU nauliza kweli Serikali inaweza kumpiga mtu risasi namna hiyo ILI IWEJE? Sielewi naomba ufafanuzi wa hili jamani.
Wewe ni purely "MJINGA" na "MPUMBAVU" na kwa sababu hiyo unazalisha na kutapika maneno ya kijinga na kipumbavu hapa..
Hao watu walio kwenye chama waliompiga risasi Tundu Lissu hawashikiki na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria na haki?
Please, usitufanye sisi pia ni wapumbavu na wajinga kama wewe/nyie...!