Lissu ni Nani Ampangie Magufuli cha kuongea au Kufanya EBU KUWENI NA ADABU KWA RAIS WA NCHI ivi ni lazima ujinga wenu muutangaze mitandaona.Magufuli sio size ya LISSU size ni Yule mzeee Wa ubwabwa Hashim Rungwe. Tena MKOME PUMBAVU KUMAFANISHA RAIS NA WATU WASIO NA ADABU KWA NCHI YETUHii sio Mara ya kwanza kwa Lisu kutamka hivyo,,tunachotaka sasa aje na kauli ya kumtaka mgombea wa ccm aji commit kukubali matokeo ya kushindwa pindi akishindwa uchaguzi na akabidhi madaraka kwa amani Kama ilivyo desturi ya Watanzania,la sivyo akikaidi awe tayari kulazimishwa kuondoka kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano na aje ku face the quencequences,huwezi msamehe mtu mkaidi
Wewe ni mpuuzi mmja hivi,anaeongelewa hapa ni Magufuli mgombea ni lazima atoke kuji commit na si vinginevyo.Wapambe Kama nyie wenye hofu ya kupoteza ulaji ndio mlimwambia anakubalika Sana sasa maji shingoni.Lissu ni Nani Ampangie Magufuli cha kuongea au Kufanya EBU KUWENI NA ADABU KWA RAIS WA NCHI ivi ni lazima ujinga wenu muutangaze mitandaona.Magufuli sio size ya LISSU size ni Yule mzeee Wa ubwabwa Hashim Rungwe. Tena MKOME PUMBAVU KUMAFANISHA RAIS NA WATU WASIO NA ADABU KWA NCHI YETU
Lissu ni Muhuni Kama Wahuni wengine.
HATUWEZI KABIDH NCHI KWA WAHUNI NA MASHOGA
Mange anagombea kupitia chama gani? Kwani ni mgombea uraisi anayeishi hapa nchini we mpuuzi? Vijana wa Lumumba hamjielewi kabisa.Mlishikishwa ukuta na mange ndo mtaweza kuingia barabarani nyi?
Tamko la nini? Maana hatashindwa.Magufuli naye atoe tamko, yupo tayari kuachia madaraka?
Sawa wewe ni mjinga na puuzi ...l thought after have brought duties of Member of Parliament you could single out from the list ametekeleza au laa ? au umekariri tuu maswali hujuwi kama yamejiwa au laa? sawa nimekuana mpumbavu and garbage husaidiki tafuta mtu mwingine.Foolish young boyMkuu sijauliza kazi za mbunge, nimetaka kujua tu alichotekeleza mbunge wetu wa kawe kwa kipindi cha miaka 10 Ili tumpe tena miaka 5. Mbona unatumia nguvu nyingi sana kuelezea kitu ambacho sijauliza.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mjomba mbona umepanic sana. Hivi kazi za mbunge zilizotajwa kwenye katiba zinaweza kweli kukufanya mtu ujue mbunge wako alichokitekeleza kwenye Jimbo lake? Hayo majukumu yaliyotokea kwenye katiba yapo general kwa kila mbunge, sisi wapiga kura tunataka kujua vitu specifically vinavyotugusa ambavyo amevifanya.Sawa wewe ni mjinga na puuzi ...l thought after have brought duties of Member of Parliament you could single out from the list ametekeleza au laa ? au umekariri tuu maswali hujuwi kama yamejiwa au laa? sawa nimekuana mpumbavu and garbage husaidiki tafuta mtu mwingine.Foolish young boy
so kama hakuna performance measurement tangible wakati nimekupa kazi ambazo umesama ni general kwa wabunge wote siona shida yaku hoji.hive utajuwaje anahojo serikali bungeni wakati mumezima bungeni live?? nyuma sana hukumuona Mh Mdee Bungeni wakati wabunge weni wanagonga meza tuu nakusema Ndiyooooooooooo.Au unatalajia niseme kazi za mbunge nikujenga maflyover,barabara n.k?for your information nipe majimbo kumi tuu ambayo yapo chini ya CCM kwa miaka zaidi 50 kuna maendelewo zaidi ya Kawe kwasababu wabunge wawo ni wachapakazi hodari.Ni afadhali wewe mjinga na mpumbavu uwe mbunge wa Kawe kuliko huyo Gwajboy munayempigia mapimbio.[emoji23][emoji23][emoji23] mjomba mbona umepanic sana. Hivi kazi za mbunge zilizotajwa kwenye katiba zinaweza kweli kukufanya mtu ujue mbunge wako alichokitekeleza kwenye Jimbo lake? Hayo majukumu yaliyotokea kwenye katiba yapo general kwa kila mbunge, sisi wapiga kura tunataka kujua vitu specifically vinavyotugusa ambavyo amevifanya.
Lakini hii ndo inaonyesha uhalisia wa mbunge tuliekua naye. Mpaka nyinyi mnaompigia kampeni kwenye mitandao, mnapata shida kumjibia pale mnapoulizwa amefanya nni kwenye Jimbo letu la kawe kwa miaka 10. Matokeo yake ndo haya mnaishia kutukana.
Huyo mbona alishaweka wazi kuwa lazima amalizie miradi yake,hivyo hayuko tayar
Hapo ndiyo pagumu snMagufuli naye atoe tamko, yupo tayari kuachia madaraka?
Goodso kama hakuna performance measurement tangible wakati nimekupa kazi ambazo umesama ni general kwa wabunge wote siona shida yaku hoji.hive utajuwaje anahojo serikali bungeni wakati mumezima bungeni live?? nyuma sana hukumuona Mh Mdee Bungeni wakati wabunge weni wanagonga meza tuu nakusema Ndiyooooooooooo.Au unatalajia niseme kazi za mbunge nikujenga maflyover,barabara n.k?for your information nipe majimbo kumi tuu ambayo yapo chini ya CCM kwa miaka zaidi 50 kuna maendelewo zaidi ya Kawe kwasababu wabunge wawo ni wachapakazi hodari.Ni afadhali wewe mjinga na mpumbavu uwe mbunge wa Kawe kuliko huyo Gwajboy munayempigia mapimbio.
Huyu jamaa hii kauli yake huwa inanichekesha Sana! Eti 'ntaingiza watu barabarani" [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aysee... Ni mtu gani anaeweza kukubali kuingizwa barabarani?
Hata km ni manyumbu ila sizani km watamuelewa.
Amelifanyia nn Jimbo la kawe kwa miaka 10? Hiyo ndo hoja. Kama hakuna alichofanya ni sawa tu. Sasa Kwann unazunguka ndugu?so kama hakuna performance measurement tangible wakati nimekupa kazi ambazo umesama ni general kwa wabunge wote siona shida yaku hoji.hive utajuwaje anahojo serikali bungeni wakati mumezima bungeni live?? nyuma sana hukumuona Mh Mdee Bungeni wakati wabunge weni wanagonga meza tuu nakusema Ndiyooooooooooo.Au unatalajia niseme kazi za mbunge nikujenga maflyover,barabara n.k?for your information nipe majimbo kumi tuu ambayo yapo chini ya CCM kwa miaka zaidi 50 kuna maendelewo zaidi ya Kawe kwasababu wabunge wawo ni wachapakazi hodari.Ni afadhali wewe mjinga na mpumbavu uwe mbunge wa Kawe kuliko huyo Gwajboy munayempigia mapimbio.
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.
Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.
Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.
Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.
Hivi Lissu yeye hana Price Tag?.Nauliza tu jamani.Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema akishindwa kwa haki atakuwa wa kwanza kusema kuwa ameshindwa kwa haki.
Amesema wakishinda lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikawapora ushindi wao, atawaingiza watu barabarani kuteteta ushindi wao.
Amesema CHADEMA wakishinda ni lazima Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itangaze kwa heri au kwa shari.
Amesisitiza wanataka Uchaguzi wa Amani, lakini hawatakuwa tayari kugeuza shavu la pili ili waumie zaidi. Ameyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni Tabora.