GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu analeta siasa za mwaka 1960. Hatafanikiwa.
Wewe uliyefanikiwa bila ya kusujudu huna ulilofanyia taifa kupitia taaluma yako. Ccm wote hamna uwezo wa kushindana nae. Vunjeni tu katiba na sheria za nchi kwa sababu mna bunduki ipo siku bunduki haitawasaidia lolote. Mnaweza mkamkandamiza kwa kumnyima haki yake ila haki haipotei itacherewa tu. Mtamwachia. Unajua kama kuna mtu kwenye jimbo la mchengerema amekataliwa kupewa fomu ya kuwania kuteuliwa ubunge?
 
Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.

View attachment 3390221
Anatokaje?? Bado hajajifunza njia nzuri ya kutumia mdomo wake!! Akitoka kabla ya Novemba, Niko pale niite jina lolote
 
Anatokaje?? Bado hajajifunza njia nzuri ya kutumia mdomo wake!! Akitoka kabla ya Novemba, Niko pale niite jina lolote
Ndio njia mnayoitumia hiyo ili mfanye ujinga wenu, maana yake hamwezi kushindana nae bila ya figisu kama hizo.
 
Ni lini sasa atatoka? Mengine yawekeni moyoni
 
Mama kila akiangalia hii video anaona safari ya Zanzibar imefika
 
Na uchiba ule mchakamchaka ule atamkimbiza nani?!! Atafirimbwa mpaka atakimbilia ubelgiji kwa wafirimbaji Wala baga.
 
😁😁😁

Sasa mtu kama Alishapigwa risasi na Bado hakuna and still haogopi do you think utamfanyia Jambo Gani lingine la kumfanya akuogope ,

Haihitaji rocket science kuweza kutambua kwamba huyo mtu hakuna kitu Cha kumrudisha nyuma labda afe '
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…