Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

Mbowe alipitisha Sana kuhusu maridhiano, hakukuwa na maridhiano, Bali kulikuwa na mchakato wa maridhiano na yakavunjika.Lissu ni big brain.Mungu amlinde
 
Kukwama kwa Maridhiano ni pigo kwa Mbowe.
 
Hakuna anayechafuliwa hapa ila UKUPE ni mbaya sana MBOWE ameamua kuwa kupe wa maccm kwa ajili ya faida yake na familia yake huku Watanzania wengi wakiendelea kuumizwa bila sababu yoyote.
 
Nanona yanayohitajika zaidi ni Maridhiano kati ya Mbowe na Lissu kabla ya Maridhiano ya Samia na Mbowe🐼
Hakutakuwa na maridhiano hayo, lissu hataki chama kimpigie magoti rais, mbowe is willing kuoiga magoti ili apate chochote and to save his career

One has to go
 
Dogo Haki za kikatiba Huwa zinadaiwa kwa.nguvu siyo maridhiano
 
Hakuna anayechafuliwa hapa ila UKUPE ni mbaya sana MBOWE ameamua kuwa kupe wa maccm kwa ajili ya faida yake na familia yake huku Watanzania wengi wakiendelea kuumizwa bila sababu yoyote.
Mbowe hajasababisha watanzania waumizwe. Hata Lissu wako kasababisha, ujinga kama huu ttunaouona kwa wanaoitwa wanaharakati ndio huchangia watu wateseke.
 
Dogo Haki za kikatiba Huwa zinadaiwa kwa.nguvu siyo maridhiano
Mbona Lissu wako alizidai kwa kubembeleza!

Toka kwenye key board uje udai hizo haki kwa nguvu tuone.
 
Lissu ni akili kubwa sana, anazidi kuwafungua watu macho na akili na kuwapa proper reasoning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…