OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hitimisho hapa ni kwamba Mbowe alitolewa gerezani kwa masharti ya kuitii ikulu na CCM. Hata kukomaa na uenyekiti ni maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikimbia wapi wakati alipelekwa Ulaya kwenye matibabu na akina Mbowe?Siasa ngumu,yeye alikuwa Ulaya mwenzake alikuwa gerezani tena gereza la Tanzania tena kwa kesi mbaya.Pamoja na yote na makosa Lisu awe na huruma.Kama yeye anaamini maandamano na sheria na uanaharakati mbona alikimbia.Haya mambo tutafakari,uongozi hauendi hivyo
Mbowe ana madudu mengi sana na lisu kataweka akiba ikiwemo alichofanyiwa Heche vyote ataongea siku ya mwisho wa kampeni ndipo wewe utamgeuka mbowe na kumkataa hata kama sasa unakula pesa zake kwa wingi
Hii mada huiwezi, hata kujaribu kuipa muktadha tofauti ni kujichoresha. Ni vyema ukakaa kimya wanaume wanapoongea mambo ya chama cha kisiasa. Ww nenda kajidili mambo ya chama chenu kilichoamua kuishi kwa kutegemea vyombo vya dola.lissu ni habari mbaya kwa chadema maana hivi sasa ndio wamejipambanua wanagombea vyeo na matumbo yao mwisho wenyewe wanagawa je wataleta umoja kwa taifa ni wadhaifu sana kama wanaume!
Kwani huko gerezana alipelekwa na Lisu?Siasa ngumu,yeye alikuwa Ulaya mwenzake alikuwa gerezani tena gereza la Tanzania tena kwa kesi mbaya.Pamoja na yote na makosa Lisu awe na huruma.Kama yeye anaamini maandamano na sheria na uanaharakati mbona alikimbia.Haya mambo tutafakari,uongozi hauendi hivyo
Swali kwako, haki yako kuipata inahitaji maridhiano? Kama mtu hakupi haki yako mpaka m negotiate huyo ni mhalifu. Kama kalipwa pesa yake hiyo ni HAKI yake sio huruma, maana kama asingelipwa angedai mahakamani hata baada ya Herode kufariki.Unapokubali kuzungumza na adui yako maana yake lazima compromise iwepo vinginevyo hakuna haja ya kuzungumza.
Lissu anawadanganya wajinga wasiojua maana ya neno maridhiano. Mbowe amenukuu watu mashuhuri kabisa duniani wakieleza maridhiano ni nini.
Hizo haki za kikatiba mbona kabla ya maridhiano hazikutolewa na yeye alikimbia nchi? Kama maridhiano hayakuwa na faida angerudi nchini na kulipwa haki zake za ubunge? Mbona huko nyuma hakulipwa na hakufanya kitu si haki za kikatiba?
Maamuzi ya chama sio mtu mmoja bali ni vikao, mtu mmoja nguvu yake ni ushawishi tu; hata wewe ukishinda hutaweza kuimpose mawazo yako katika chama bila maamuzi hayo kuungwa mkono na kupitishwa na vikao.
Lissu mradi wako wa kumchafua Mbowe hautafanikiwa na elewa kabisa baada ya uchaguzi ndio mwisho wako CHADEMA.
Kwani huko gerezana alipelekwa na Lisu?sijui ila na yeye Ulaya alipelekwa na Mbowe!!?
Ile alikimbilia ubalozi wa Ujeruman,akasaidiwa kunusuru roho yake,ila sasa anapuuza waliobaki kutafuta namna ya watu kurudi.Jamani naomba mnisamehe mimi sio mtu wa siasa,ila siasa ni ngumu,maana mtu anajitoa ufahamuAlikimbia wapi wakati alipelekwa Ulaya kwenye matibabu na akina Mbowe?
Mlimnyima LISSU hakizake za kikatiba ili mpigiwe magoti na Mbowe, ndipo mzitoe? Wewe na Mbowe ni wajinga sanaUnapokubali kuzungumza na adui yako maana yake lazima compromise iwepo vinginevyo hakuna haja ya kuzungumza.
Lissu anawadanganya wajinga wasiojua maana ya neno maridhiano. Mbowe amenukuu watu mashuhuri kabisa duniani wakieleza maridhiano ni nini.
Hizo haki za kikatiba mbona kabla ya maridhiano hazikutolewa na yeye alikimbia nchi? Kama maridhiano hayakuwa na faida angerudi nchini na kulipwa haki zake za ubunge? Mbona huko nyuma hakulipwa na hakufanya kitu si haki za kikatiba?
Maamuzi ya chama sio mtu mmoja bali ni vikao, mtu mmoja nguvu yake ni ushawishi tu; hata wewe ukishinda hutaweza kuimpose mawazo yako katika chama bila maamuzi hayo kuungwa mkono na kupitishwa na vikao.
Lissu mradi wako wa kumchafua Mbowe hautafanikiwa na elewa kabisa baada ya uchaguzi ndio mwisho wako CHADEMA.
Wakaguzi ni binadamu na mbowe anajua kucheza nao ndiyo maana miaka yote huwa kimya hata wakikuta dosari huzifunika, kwanza kitendo cha karibu mkuu kukosa mamlaka ya fedha ndani ya chama ni Dharau kwake, kupewa haki yao ni sawa na kushinda kesi kusha unashukuru uliyemshinda kesi ya madai yako halali
Mwambie Lissu awape katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa kuwa ni haki ya wananchi.Swali kwako, haki yako kuipata inahitaji maridhiano? Kama mtu hakupi haki yako mpaka m negotiate huyo ni mhalifu. Kama kalipwa pesa yake hiyo ni HAKI yake sio huruma, maana kama asingelipwa angedai mahakamani hata baada ya Herode kufariki.
Hapana, Lissu ana sifa za watu wa Mbeya na Tarime.Hii ni sifa ya wanaume kutoka Singida ukiondoa Mwigulu na Mkumbo