Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

Siasa ngumu,yeye alikuwa Ulaya mwenzake alikuwa gerezani tena gereza la Tanzania tena kwa kesi mbaya.Pamoja na yote na makosa Lisu awe na huruma.Kama yeye anaamini maandamano na sheria na uanaharakati mbona alikimbia.Haya mambo tutafakari,uongozi hauendi hivyo
Alikimbia wapi wakati alipelekwa Ulaya kwenye matibabu na akina Mbowe?
 
lissu ni habari mbaya kwa chadema maana hivi sasa ndio wamejipambanua wanagombea vyeo na matumbo yao mwisho wenyewe wanagawa je wataleta umoja kwa taifa ni wadhaifu sana kama wanaume!
Hii mada huiwezi, hata kujaribu kuipa muktadha tofauti ni kujichoresha. Ni vyema ukakaa kimya wanaume wanapoongea mambo ya chama cha kisiasa. Ww nenda kajidili mambo ya chama chenu kilichoamua kuishi kwa kutegemea vyombo vya dola.
 
Siasa ngumu,yeye alikuwa Ulaya mwenzake alikuwa gerezani tena gereza la Tanzania tena kwa kesi mbaya.Pamoja na yote na makosa Lisu awe na huruma.Kama yeye anaamini maandamano na sheria na uanaharakati mbona alikimbia.Haya mambo tutafakari,uongozi hauendi hivyo
Kwani huko gerezana alipelekwa na Lisu?
 
Unapokubali kuzungumza na adui yako maana yake lazima compromise iwepo vinginevyo hakuna haja ya kuzungumza.

Lissu anawadanganya wajinga wasiojua maana ya neno maridhiano. Mbowe amenukuu watu mashuhuri kabisa duniani wakieleza maridhiano ni nini.

Hizo haki za kikatiba mbona kabla ya maridhiano hazikutolewa na yeye alikimbia nchi? Kama maridhiano hayakuwa na faida angerudi nchini na kulipwa haki zake za ubunge? Mbona huko nyuma hakulipwa na hakufanya kitu si haki za kikatiba?

Maamuzi ya chama sio mtu mmoja bali ni vikao, mtu mmoja nguvu yake ni ushawishi tu; hata wewe ukishinda hutaweza kuimpose mawazo yako katika chama bila maamuzi hayo kuungwa mkono na kupitishwa na vikao.

Lissu mradi wako wa kumchafua Mbowe hautafanikiwa na elewa kabisa baada ya uchaguzi ndio mwisho wako CHADEMA.
Swali kwako, haki yako kuipata inahitaji maridhiano? Kama mtu hakupi haki yako mpaka m negotiate huyo ni mhalifu. Kama kalipwa pesa yake hiyo ni HAKI yake sio huruma, maana kama asingelipwa angedai mahakamani hata baada ya Herode kufariki.
 
Mbowe kwenye head to head na lissu hatoweza kwa hoja
 
Alikimbia wapi wakati alipelekwa Ulaya kwenye matibabu na akina Mbowe?
Ile alikimbilia ubalozi wa Ujeruman,akasaidiwa kunusuru roho yake,ila sasa anapuuza waliobaki kutafuta namna ya watu kurudi.Jamani naomba mnisamehe mimi sio mtu wa siasa,ila siasa ni ngumu,maana mtu anajitoa ufahamu
 
Unapokubali kuzungumza na adui yako maana yake lazima compromise iwepo vinginevyo hakuna haja ya kuzungumza.

Lissu anawadanganya wajinga wasiojua maana ya neno maridhiano. Mbowe amenukuu watu mashuhuri kabisa duniani wakieleza maridhiano ni nini.

Hizo haki za kikatiba mbona kabla ya maridhiano hazikutolewa na yeye alikimbia nchi? Kama maridhiano hayakuwa na faida angerudi nchini na kulipwa haki zake za ubunge? Mbona huko nyuma hakulipwa na hakufanya kitu si haki za kikatiba?

Maamuzi ya chama sio mtu mmoja bali ni vikao, mtu mmoja nguvu yake ni ushawishi tu; hata wewe ukishinda hutaweza kuimpose mawazo yako katika chama bila maamuzi hayo kuungwa mkono na kupitishwa na vikao.

Lissu mradi wako wa kumchafua Mbowe hautafanikiwa na elewa kabisa baada ya uchaguzi ndio mwisho wako CHADEMA.
Mlimnyima LISSU hakizake za kikatiba ili mpigiwe magoti na Mbowe, ndipo mzitoe? Wewe na Mbowe ni wajinga sana
 
Wakaguzi ni binadamu na mbowe anajua kucheza nao ndiyo maana miaka yote huwa kimya hata wakikuta dosari huzifunika, kwanza kitendo cha karibu mkuu kukosa mamlaka ya fedha ndani ya chama ni Dharau kwake, kupewa haki yao ni sawa na kushinda kesi kusha unashukuru uliyemshinda kesi ya madai yako halali

Swali kwako, haki yako kuipata inahitaji maridhiano? Kama mtu hakupi haki yako mpaka m negotiate huyo ni mhalifu. Kama kalipwa pesa yake hiyo ni HAKI yake sio huruma, maana kama asingelipwa angedai mahakamani hata baada ya Herode kufariki.
Mwambie Lissu awape katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa kuwa ni haki ya wananchi.

Uchaguzi wa mitaa umevurugwa wagombea wamenyimwa haki ya kupiga kura mbano hujaenda huko mahakamani basi kupata hiyo haki.

Kujificha nyuma ya key board raha sana.

Endeleeni kumchuuza huku anajifuta katika ulimwengu wa active politics.
 
Hii ni sifa ya wanaume kutoka Singida ukiondoa Mwigulu na Mkumbo
Hapana, Lissu ana sifa za watu wa Mbeya na Tarime.

Tanzania wanaume walionyoka wasioweza kuupaka uongo rangi wanatoka Mbeya na Tarime tu.
 
Back
Top Bottom