Lissu: Nilipokaimu Umakamu, haki za kikatiba zilikataliwa kujadiliwa vikaoni na Mwenyekiti!

Lissu mpaka siku kampeni zinaanza atakuwa asharopoka kila kitu na sijui kampeni zikianza ataongea nini. Mwamba wa Siasa za Chadema Ayatollah Mbowe yeye anamzoom tu. Anasubiri dakika ya mwisho, anamaliza!!!
 
Ukiwaangalia hawa Viongozi wawili utaona kuna tofauti kubwa sana kati yao, ndio maana utagundua ni kwanini mmoja alitakiwa kuhongwa na mwingine kuuwawa na Magufuli.

Magufuli alijuwa nani ni threat kwake.
 
Lissu mpaka siku kampeni zinaanza atakuwa asharopoka kila kitu na sijui kampeni zikianza ataongea nini. Mwamba wa Siasa za Chadema Ayatollah Mbowe yeye anamzoom tu. Anasubiri dakika ya mwisho, anamaliza!!!

Kuropoka namna ulivyokataa hela za CCM ni bora kuliko kununuliwa na CCM halafu ukakaa kimya.
 
Kama chadema walipokea pesa ya rushwa, basi hiyo ndiyo itakiua chama.
 
Mbowe kajichafua mwenyewe kulazimisha maridhiano ili apige pesa, Mbowe maridhiano yake ni biashara, huwezi kudai haki zako halali na ukipewa useme ni maridhiano, Mbowe pesa za chama zipo kwenye A/c zake mwenyewe katibu mkuu hana mamlaka pesa anatumia atakavyo hakuna ukaguzi wa hesabu juu yake, kwa kifupi Mbowe ni mchoyo amejaa ubinafsi mwingi, sasa anatumia pesa nyingi asalie madarakani kwani akiingia mwenyekiti mpya atakuwa matatani kwa ufisadi wa pesa za chama
 
Mbowe kafanya madudu mengi ikiwemo kula pesa za wale wabunge haramu 19 anaogopa kutoka ofisini kwani huenda yakafichuka mengi ambayo yatamuumbua sana, yupo radhi kuuza hata mali zake zote anunue uenyekiti asalie afiche madudu yake
 
Chochote unachopewa baada ya maridhiano ni matunda ya naridhiano.

Lissu ni mnufaika wa kwanza wa naridhiano.

Maamuzi ya maridhiano siyo ya Mbowe binafsi ni maamuzi ya kikao ambacho hata Lissu alihudhuria.

Akaunti za pesa za vyama vya siasa zinakaguliwa na CAG na kama ingekuwa pesa zipo katika akaunti binafsi za Mbowe CAG katika ripoti zake angesema.

CHADEMA iliwahi kufanyiwa special auditing na CAG wakati wa Magufuli baada ya Mwambe kutoa tuhuma kama za Lissu lakini CAG hakuona kosa.

Tuhuma zote ulizoandika hapa kama ungeweza kureason logically na critically ungeona zote ni porojo.
 
Hata mimi naweza kusema Lissu ametaka kunipa hela nimpambe mitandaoni. Ishu ni kuthibitisha Sasa!!!
Mzee wenje kaja nyumbani kwako kufuata nini ? Kitendo cha kuja tu ni ushahidi pink
Nanona yanayohitajika zaidi ni Maridhiano kati ya Mbowe na Lissu kabla ya Maridhiano ya Samia na Mbowe🐼
Mbowe hana nidhamu kwa viongozi wenzake makamu katibu mkuu hawana maamuzi kwenye fedha za chama huwaburuza sana, hawajui hata kuna tshs ngapi kwenye A/C ya chama, hufuja pesa atavyo na wakihoji huwa mkali sana
 
Wakaguzi ni binadamu na mbowe anajua kucheza nao ndiyo maana miaka yote huwa kimya hata wakikuta dosari huzifunika, kwanza kitendo cha karibu mkuu kukosa mamlaka ya fedha ndani ya chama ni Dharau kwake, kupewa haki yao ni sawa na kushinda kesi kusha unashukuru uliyemshinda kesi ya madai yako halali
 
Mbowe huendesha chadema kama Duka lake binafsi viongozi wengine wapo kama vibarua upande wa pesa amejipa mamlaka binafsi hataki mtu kuhoji chochote
 
Mbowe alipitisha Sana kuhusu maridhiano, hakukuwa na maridhiano, Bali kulikuwa na mchakato wa maridhiano na yakavunjika.Lissu ni big brain.Mungu amlinde
Unamdai mtu haki zako akikupa unaita maridhiano inashaza sana
 
Lissu mpaka siku kampeni zinaanza atakuwa asharopoka kila kitu na sijui kampeni zikianza ataongea nini. Mwamba wa Siasa za Chadema Ayatollah Mbowe yeye anamzoom tu. Anasubiri dakika ya mwisho, anamaliza!!!
Mbowe ana madudu mengi sana na lisu kataweka akiba ikiwemo alichofanyiwa Heche vyote ataongea siku ya mwisho wa kampeni ndipo wewe utamgeuka mbowe na kumkataa hata kama sasa unakula pesa zake kwa wingi
 
Mbowe alipitisha Sana kuhusu maridhiano, hakukuwa na maridhiano, Bali kulikuwa na mchakato wa maridhiano na yakavunjika.Lissu ni big brain.Mungu amlinde
hakuna mtu wa aina ya Lissu anayeweza kufanikiwa kwenye ulimwengu wa siasa: atafanikiwa tu kwa muda mfupi but in the long run hatatoboa. period.....
 
Mbowe ana madudu mengi sana na lisu kataweka akiba ikiwemo alichofanyiwa Heche vyote ataongea siku ya mwisho wa kampeni ndipo wewe utamgeuka mbowe na kumkataa hata kama sasa unakula pesa zake kwa wingi
Mimi ni CCM na sijali mtamchagua nani kwasababu kwangu wote hawafai. Mbowe ame overstay. Lissu HANA karama ya uongozi.
 
Mbowe hajasababisha watanzania waumizwe. Hata Lissu wako kasababisha, ujinga kama huu ttunaouona kwa wanaoitwa wanaharakati ndio huchangia watu wateseke.
Anayekubali upumbavu kati ya Lissu na Mbowe nani???Wale COVID 19 wako mle Bungeni kwa hisani ya nani kama siyo Mbowe.Acha ujinga wewe tunajadili mambo ya Demokrasia kumbe miongoni mwetu tunao mafisadi na madikteta.
 
Siasa ngumu,yeye alikuwa Ulaya mwenzake alikuwa gerezani tena gereza la Tanzania tena kwa kesi mbaya.Pamoja na yote na makosa Lisu awe na huruma.Kama yeye anaamini maandamano na sheria na uanaharakati mbona alikimbia.Haya mambo tutafakari,uongozi hauendi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…