Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Huyu ni kibaraka by instinct. Amebwaga moyo kwa wazungu kwa vijisent. Hana hulka ya uhuru bali utumwa kwa wazungu. Hana jeuri ya kinyerere hata tone. Wazungu wanapenda mtu kama lissu shida kubwa ni jinsi ya kumuweka madarakani. Katu watanzania hawawezi mchagua mtu kama lissu kua rais wao.
 
Hatuwezi kuzindua ilani wakati bado hatujui hatima ya wagombea 60 wa ubunge walioenguliwa. Huu uchaguzi hakutakuwa na maana tukienda kwa style hii
 
Shenzi Sasa kaenda kufanya Nini mbagala, Basi angemwalika kingwendu tukajua wameenda kupiga sho
Huwa sipendi uni quote, nakujua kuliko unavyofikiri id tu huijui
 
Mimi sio muumini wa watu wapumbavu.

Huyu binti na wewe hamna maana na wengi tunamjua HANA MAANA
 
Hatuwezi kuzindua ilani wakati bado hatujui hatima ya wagombea 60 wa ubunge walioenguliwa. Huu uchaguzi hakutakuwa na maana tukienda kwa style hii
60 wameenguliwa, 50 wazanzibar hapati, Kati ya 265, 110 keshakosa tayari, mbona ka mchezo imeisha,
 
Hatuwezi kuzindua ilani wakati bado hatujui hatima ya wagombea 60 wa ubunge walioenguliwa. Huu uchaguzi hakutakuwa na maana tukienda kwa style hii
Kwahiyo hao wabunge wasioorudishwa mnafanyaje?
 
Nyau mweusi ww
 
🔴 Alert

CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza. Karibuni Jamhuri.
 
Ebu muulize vizuri, huyo Lissu atawalipaje Jumuiya ya kimataifa wakimuweka madarakani?, God forbid..!
Unamanisha ata bara bara ,mashule,vyuo,hospitali zinazo jengwa kwa hisani ya Wazungu tunawapa madini yetu na mbuga za wanyama?
Unamanisha Wachina wanashirikiana na CCM kutuuza ?
Unamanisha TANU iliuza mali zetu kwa UN,CHINA,URUSI,USA,INDIA,NAM,BURMA ili tupate Uhuru mwaka 1962...maana hizo nchi na mashirika ndiyo walikua kimbilio letu na wafadhiri wakati huo.
 
Tumefanya kampeini miaka mitano kumbuka...Hivi kuna aja gani ya kutumia wasanii na bilioni 17 kupiga kampeini wakati tumefanya mengi mfano SGR,JNHPP,ELIMU BURE ...nk hizo pesa tuwapeni vijana wasio na ajira kama mitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…