Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!

Yaani badala ya kujenga hoja kwa wananchi wamchague, " Ni yeye" anaifitinisha Tanzania dhidi ya Jumuiya ya kimataifa. Tanzania ya watanzania tena ya wananchi wenye uwezo wa kumuweka madarakani. Yaani anataka Jumuiya ya kimataifa ndiyo imuweke madarakai hapa nchini badala ya sisi watanzania ndiyo tumuweke madarakani. Sasa Lissu akisha wekwa madarakani na jumuiya hiyo ya Ulimwengu, atailipa nini!? Siyo ndiyo, mwanzo wa Lissu kutuuza watanzania kwa mafungu...!!! Kwa hili, leo amepoteza nafasi adhimu ya kuwashawishi watanzania kwa hoja ili wamuweke madarakani.
Huyu ni kibaraka by instinct. Amebwaga moyo kwa wazungu kwa vijisent. Hana hulka ya uhuru bali utumwa kwa wazungu. Hana jeuri ya kinyerere hata tone. Wazungu wanapenda mtu kama lissu shida kubwa ni jinsi ya kumuweka madarakani. Katu watanzania hawawezi mchagua mtu kama lissu kua rais wao.
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Hatuwezi kuzindua ilani wakati bado hatujui hatima ya wagombea 60 wa ubunge walioenguliwa. Huu uchaguzi hakutakuwa na maana tukienda kwa style hii
 
Shenzi Sasa kaenda kufanya Nini mbagala, Basi angemwalika kingwendu tukajua wameenda kupiga sho
Huwa sipendi uni quote, nakujua kuliko unavyofikiri id tu huijui
 
Ila wewe ndio umechekesha
Unaacha kujibu hoja unaanza kufukua makaburi !!!!! Hahahahhaa
Jibu hoja acha kumfuatilia mtu alichoandika zamani binadamu tunabadilika kila uchwao
Mm wa Leo sio Yule was Jana
Na hii inatokana na kupitia Mambo mbalimbali na kujifunza kila siku
Mimi sio muumini wa watu wapumbavu.

Huyu binti na wewe hamna maana na wengi tunamjua HANA MAANA
 
Hatuwezi kuzindua ilani wakati bado hatujui hatima ya wagombea 60 wa ubunge walioenguliwa. Huu uchaguzi hakutakuwa na maana tukienda kwa style hii
60 wameenguliwa, 50 wazanzibar hapati, Kati ya 265, 110 keshakosa tayari, mbona ka mchezo imeisha,
 
Hatuwezi kuzindua ilani wakati bado hatujui hatima ya wagombea 60 wa ubunge walioenguliwa. Huu uchaguzi hakutakuwa na maana tukienda kwa style hii
Kwahiyo hao wabunge wasioorudishwa mnafanyaje?
 
Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!

Yaani badala ya kujenga hoja kwa wananchi wamchague, " Ni yeye" anaifitinisha Tanzania dhidi ya Jumuiya ya kimataifa. Tanzania ya watanzania tena ya wananchi wenye uwezo wa kumuweka madarakani. Yaani anataka Jumuiya ya kimataifa ndiyo imuweke madarakani hapa nchini badala ya sisi watanzania ndiyo tumuweke madarakani. Sasa Lissu akisha wekwa madarakani na jumuiya hiyo ya Ulimwengu, atailipa nini!? Siyo ndiyo, mwanzo wa Lissu kutuuza watanzania kwa mafungu...!!! Kwa hili, leo amepoteza nafasi adhimu ya kuwashawishi watanzania kwa hoja ili wamuweke madarakani.
Nyau mweusi ww
 
🔴 Alert

CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza. Karibuni Jamhuri.
 
Ebu muulize vizuri, huyo Lissu atawalipaje Jumuiya ya kimataifa wakimuweka madarakani?, God forbid..!
Unamanisha ata bara bara ,mashule,vyuo,hospitali zinazo jengwa kwa hisani ya Wazungu tunawapa madini yetu na mbuga za wanyama?
Unamanisha Wachina wanashirikiana na CCM kutuuza ?
Unamanisha TANU iliuza mali zetu kwa UN,CHINA,URUSI,USA,INDIA,NAM,BURMA ili tupate Uhuru mwaka 1962...maana hizo nchi na mashirika ndiyo walikua kimbilio letu na wafadhiri wakati huo.
 
🔴 Alert

CHADEMA hakikisheni kesho Lissu hashiki simu yake siku nzima. Asije akaona Umati wa Magufuli, Viwanja vya Jamhuri Dodoma, akaanza kuleta story za kujitoa kwenye Uchaguzi. Hakuna mtu kujitoa uchaguzi huu, kesho kazi inaanza. Karibuni Jamhuri.
Tumefanya kampeini miaka mitano kumbuka...Hivi kuna aja gani ya kutumia wasanii na bilioni 17 kupiga kampeini wakati tumefanya mengi mfano SGR,JNHPP,ELIMU BURE ...nk hizo pesa tuwapeni vijana wasio na ajira kama mitaji.
 
Back
Top Bottom