Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Imagine wagombea 50 wa Chadema wameshakatwa na wagombea 20 wa ACT huko zanzibar wameshakatwa, maana yake CCM imeshalamba wagombea 70 mezani.Ila watanzania bado sana. Kumbuka Egypt wale kina Ben Ali na Mubaraak walikuwa kwenye utawala zaidi ya miaka 20.
Scenario hazipo sawa.
Sema tu NEC imekosea sana kukata wagombea.
Hapo najiuliza wala sipati jibu.
Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!
Yaani badala ya kujenga hoja kwa wananchi wamchague, " Ni yeye" anaifitinisha Tanzania dhidi ya Jumuiya yamkimataifa. Tanzania ya watanzania tena ya wananchi wenye uwezo wa kumuweka madarakani. Yaani anataka Jumuiya ya kimataifa ndiyo imuweke madarakani hapa nchini badala ya sisi watanzania ndiyo tumuweke madarakani. Sasa Lissu akisha wekwa madarakani na jumuiya hiyo ya Ulimwengu, atailipa nini!? Siyo ndiyo, mwanzo wa Lissu kutuuza watanzania kwa mafungu...!!! Kwa hili, leo amepoteza nafasi adhimu ya kuwashawishi watanzania kwa hoja ili wamuweke madarakani.
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Acha hizo!! Hii mechi hatashinda mnafikiri watz ni wa mchezo mchezo!! Tayari wameshaanza kuwapa za kichwa tena Mbagala mmeshindwa kujaza uwanja!!!mbona kwenye intro remarks kasema clearly kuwa leo hatasoma hotuba ya kampeni yenye sera / ilani?
kasema first things first - and the first things ni kuishiniliza NEC ihakikishe wagombea wote (ubunge na udiwani) walioenguliwa wanarejeshwa kwanza tena bila masharti yoyote.
kasema sasa hivi ni maandamano ya amani nchi nzima na ametaka uungwaji mkono wa jumuiya ya kimataifa.
Nape Nnauye Mwigulu Nchemba na wengine wote mliotangazwa kupita bila kupingwa futeni hizo sherehe zenu - hii ngoma bado mbichi kabisaa!!
Anyways, mambo ya vijembe na kutambiana ni mambo ya kuliwaza roho tu lakini ki-uhalisia CCM haishindi kwa sababu inajua kupiga vijembe au kuhutubia. Magufuli ni mweupe sana kwenye kijieleza na mbaya zaidi hana mvuto na convincing power. Kungekuwa na tume ambayo inafanya kazi kwa uhuru kweli kweli CCM wangeshindwa vibaya sana. Nilichogundua ni kwamba watanzania wengi just hawataki kiongozi wa type ya Magufuli.Leo Lissu alitakiwa awashe moto.Sasa hii ya leo itawapa CCM la kusema kesho. Believe me kesho CCM watatamba sana. Watapiga vijembe mpaka basi.
Historia imejirudia ya uzinduzi wa kampeni 2015 tulielekezwa ilani tukaisome kwenye MtandaoMm nafikiri hujasikia vzr, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Akili kweli hiyo nimeamini chadema hawakujiandaa hata ilani hawana wanasubiri KUDESA kutoka ccm.Ndiyo maana walitaka LOCKDOWN kwenye COVID19. Jinga kabisa haya majamaa nadhani mpunga ndiyo issue.Kidogo nikutusi, ila Nilipoona ID ya mwanamke nmeamua kupoa.
Inamaana aliposema alikua kaandaa hotuba , lakn kwa kinachoendelea majimbon kaamua kutoisoma, ili ajikite na haya yanayoendelea... WEWE ULIKUA UNAMSIKILIZA KWA KUTUMIA NN???.
Wanaanza maandamano kwanza. Sera baadayeLissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Sisi wapiga kura tutasoma ilani ya vyama vyote siyo lazima kuambiwa na wagombea. Magu alushajipambanua ni mtu wa KAZI siyo kuonge ongea. Magu tena 2020-2025Anyways, mambo ya vijembe na kutambiana ni mambo ya kuliwaza roho tu lakini ki-uhalisia CCM haishindi kwa sababu inajua kupiga vijembe au kuhutubia. Magufuli ni mweupe sana kwenye kijieleza na mbaya zaidi hana mvuto na convincing power. Kungekuwa na tume ambayo inafanya kazi kwa uhuru kweli kweli CCM wangeshindwa vibaya sana. Nilichogundua ni kwamba watanzania wengi just hawataki kiongozi wa type ya Magufuli.
Watu tuna kiu ,Magufuli katuchosha ila sasa atakaemshinda Magufuli inatakiwa awe na msuli haswa.Anyways, mambo ya vijembe na kutambiana ni mambo ya kuliwaza roho tu lakini ki-uhalisia CCM haishindi kwa sababu inajua kupiga vijembe au kuhutubia. Magufuli ni mweupe sana kwenye kijieleza na mbaya zaidi hana mvuto na convincing power. Kungekuwa na tume ambayo inafanya kazi kwa uhuru kweli kweli CCM wangeshindwa vibaya sana. Nilichogundua ni kwamba watanzania wengi just hawataki kiongozi wa type ya Magufuli.
Semeni ukweli upinzani haina wagombea wa maana wengi wababaishaji tu. Ndiyo maana hata kujaza fomu ni shida na Lissu wakati wakutafuta wadhamini badala ya kutumia muda mwingi kuwafundisha wagombea wao alitumia muda mwingi kumsema Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi. Sasa mtakula mavi yenu. Watz wameshaanza kuwaonyesha adabu.Kwani wewe huku kuengua wagombea unaona ni sawa maana seriakali inatumia dola kuengua wagombea unataka asemaje kama watu wanataka wapite bila kupingwa kama ilivokuwa serikali za mitaaa
TBC jirekebisheni. Tanzania Ni ya woteJazba zimemjaa watu hawajajitokeza wamempuuza, View attachment 1550843
Nchi ya Mali waulizeWaandamanaji wenyewe wapo wapi?Hawa hawa wanaoogopa vipigo vya mbwa koko ?
Sema nyinyi wababaishaji wa maisha amewachosha! Lakini watz wengi watampa kura Magufuli.Watu tuna kiu ,Magufuli katuchosha ila sasa atakaemshinda Magufuli inatakiwa awe na msuli haswa.
Kuna time mkishindwa hata kuiba kura mnaona aibu.
Hapa umeandika point. Najiuliza kwa nini wakosee wao tu ?hili ndo litakuwa jibu. Why kina Mdee et al wasienguliwe ?Ina maana hawa walioenguliwa wamekosea kweli,ama wamenunuliwa ili wajikoseshe.Semeni ukweli upinzani haina wagombea wa maana wengi wababaishaji tu. Ndiyo maana hata kujaza fomu ni shida na Lissu wakati wakutafuta wadhamini badala ya kutumia muda mwingi kuwafundisha wagombea wao alitumia muda mwingi kumsema Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi. Sasa mtakula mavi yenu. Watz wameshaanza kuwaonyesha adabu.
Kichwa chako kimebebelea utoko wewe unafikri ni ubongo huo!Wazee wa gia ya angani....wanabadili baada ya kutojipanga kwao kudhihirika...sababu nyingine ni visingizio
Wale wasiojua kusoma na kuandikaSema nyinyi wababaishaji wa maisha amewachosha! Lakini watz wengi watampa kura Magufuli.