Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Safi sana. Aisee Tundu Lissu ni Mandela wa Tanzania. Tundu Lissu sio mchungaji, sio padri wala shehe lakini anahubiri haki, kukataa rushwa kwa vitendo. Viongozi wengi wa dini nao niwapiga dili tu harafu wanatumia madhabahu kulaghai watu.Nadhani sasa TL kafunga ule mjadala wa kijinga kue heche ndio tatizo.
Baada ya hapo,itakua ni uendawazimu kuwajadili tena wake wapumbavu
Hawaishiwi vioja watakuja akina ishengoma wengine na taarabu zisizoeleka maana ccm pesa ipo sio tatizoNadhani sasa TL kafunga ule mjadala wa kijinga kue heche ndio tatizo.
Baada ya hapo,itakua ni uendawazimu kuwajadili tena wake wapumbavu
Tundu Lissu, the freedom FighterLissu: hao wanaosema Heche ananizuia mimi kutoka gerezani ni akina nani nasikia!?
Wanachama: ma CCM
Lissu; waambieni hivi, mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapo patikana π
Huo ujingaujinga huo wa hao wapokea pesa za Lumumba na Ukome. Tunapigania haki na kwasababu tunapigania haki, nipo tayari kulipa gharama yoyote. Waache ujinga.
Sijawahi kuwaona mahakamani hata siku moja hao wanaonisemea. Kama wanataka kuniunga mkono waje Mahakamani.
Hakuna kutembelea Gerezani usiku hapa
View attachment 3661991
Unaamini itakuwa hivyo?Endapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee
Akil zako Zina mav kchwanEndapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee