Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana


Sawa mkate yake chai

Wale Mashekh wa uhamsho nawao walikuwa na msimamo kama mh Lissu

Lkn mwisho wakajuq kuishinda Jamhuri ni ngumu ikitaka kupambana naww!!!!

Wakamakaa ndani miaka 8 wamekuta baadhi ya Wake zao Wameongeza Watoto

Mh Lissu yupo tayali kweli πŸ‘ˆ

sio iwe kama ile Nitafanya mgomo wa kula lkn hatangazi mgomo rasmi lini β—οΈπŸ€ 

Kitambi na mgomo πŸ˜‚
kinakugomea na chenyewe πŸ‘ˆ

Kaja kuibukia kwake kufuga nywele tu✍️
 
Tunataka watu majasiri kama hawa wanaoweza kusimamia ukweli hata kama itabidi kufa kwa ajili ya kusimamia ukweli. Watu wa aina hii ni wachache sana duniani
Ila na wewe si hupo au?
 
Jizi na lipenda rushwa liko busy linachangia bila aibu. Argument zake kama za mtoto wa darasa la saba.
 
Mzizi wa fitina umekatwa leo...

Machawa na wahongwa pesa za Lumumba wote wameufyata, na wakome kabisa...

Na bado waliomfuata usiku kumshawishi akubali kuhongwa ampe nafuu Samia, wote watajulikana at the right time...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…