Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe

Amesema “Hatutaandika barua ya kuomba dhamana, wala yeye hataomba. Mwenyekiti hatatoa ushirikiano wa aina yoyote, sio Polisi sio Mahakamani. Waamue wao wanataka kumfanya nini”

Ameongeza, “Wakikaa naye wajue hii kelele itakuwa kubwa. Wamuachie menyewe, wakimuachia kwa masharti ya kurudi Polisi siku nyingine hatarudi. Na wakimuachia atarudi Mwanza kwenye Kongamano”

Amesisitiza, “Kama wanamuachia waamue wenyewe, na wamuachie bila masharti yoyote. Sisi hatutashiriki kwa lolote katika kesi hii tunayojua ni ya kijinga”

Awali, Lissu alieleza kuwa kabla ya Mbowe kwenda Mwanza walizungumza naye na kusema tabia ya Polisi kuwakama, kukaa nao kwa muda na kisha kuwaachia kwa masharti ya kurudi kuripoti Kituo cha Polisi kila mara wamechoka na sasa hawatakubali.
Lissu ndo basi tena mpaka CCM itoke madarakani ndo urudi nyumbani, mateso makubwa sana kwa umri huo kukaa nje kwa lazima ni kama uko jela tu, nyumbani ni nyumbani, hata kama ni vichakani. Hizi mitandao at least zinawapa u nafuu kidogo kama uko nyumbani otherwise no mateso sana.
 
Kwahiyo anatuambia Nini !!?? Wamemsusa auu!!!??

Watajijua wenyewe
Walawewe huhusiki

20210721_214847.jpg
 
Lissu atulie hapo hapo ushahidi usio na chembe ya shaka unawekwa wazi, tena miongoni mwa mashahidi ni wanachadema wenyewe....! Mdude chadema aliwashwa hadi akaropoka ila yeye hata sio shahidi kati ya mashahidi lukuki! Hongera TISS hongera Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri.
Wewe ni ****
 
Shoga wewe Bwabwq
Mzee wa Matusi ulikuwa wapi kaka?!!

Nilitegemea kupotea KWAKO utanijia na MATUSI MAPYA...🤣

TUPO MKUU WANGU

#KaziInaendelea
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiAmaniYaTanzania
#MzigoNiUtulivuWaTanzania
 
Kwahiyo anatuambia Nini !!?? Wamemsusa auu!!!??

Watajijua wenyewe
Kwa akili kama hizi, ndio maana bara la Afrika ni zaidi ya miaka 50, tunajitawala wenyewe, lakini hakuna la maana, matatizo ni yale yale, halafu unasikia jitu linasema eti wazungu ndio wanatukwamisha!!!Afrika uwezo wa kujitawala tulikuwa bado!!NI VIUMBE KATILI SANA,
 
Lissu atulie hapo hapo ushahidi usio na chembe ya shaka unawekwa wazi, tena miongoni mwa mashahidi ni wanachadema wenyewe....! Mdude chadema aliwashwa hadi akaropoka ila yeye hata sio shahidi kati ya mashahidi lukuki! Hongera TISS hongera Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri.
Zero brain ktk ubora wake!!na si ajabu kesho akiachiwa bila masharti, utasikia tena unakuja kumpongeza MAMA, yaani hata huwa hamueleweki mnasimamia nini!!
 
..mwanasiasa mwenye uwezo wa kufanya ukaidi namna hiyo ni Lssu peke yake.

..familia ya Mbowe inaweza kuamua vingine na kumuwekea dhamana.
Lissu hana uwezo huo kama anakabiliwa na hali kama hiyo wakati ambao sio wa uchaguzi.
Kama naongopa kauli yangu basi Lissu asingekimbilia ughaibuni baada ya uchaguzi angebaki kupambana na kufanya ukaidi kama anao shauri.

Kwa sasa mwanaume mpambanaji kweli kweli ni Mbowe ambaye hajakimbia anawapeleka mchakamchaka wahasimu wake akiwa battlefield na siyo Lissu au Lema waliokimbia mapambano live.

Mbowe ni mwanaume hasa..
 
..mwanasiasa mwenye uwezo wa kufanya ukaidi namna hiyo ni Lssu peke yake.

..familia ya Mbowe inaweza kuamua vingine na kumuwekea dhamana.
Lissu huyu huyu aliyeenda kujificha ubalozini au kuna mwingine?
 
Lissu hana uwezo huo kama anakabiliwa na hali kama hiyo wakati ambao sio wa uchaguzi.
Kama naongopa kauli yangu basi Lissu asingekimbilia ughaibuni baada ya uchaguzi angebaki kupambana na kufanya ukaidi kama anao shauri.

Kwa sasa mwanaume mpambanaji kweli kweli ni Mbowe ambaye hajakimbia anawapeleka mchakamchaka wahasimu wake akiwa battlefield na siyo Lissu au Leamma waliokimbia mapambano live.

Mbowe ni mwanaume hasa..

..hoja yako imenifikirisha sana.

..kinachonitatiza ni siasa za UHASAMA za nchi yetu.

..kwenye nchi za wenzetu wanasiasa hawafanyiani hila kama hizi tunazozishuhudia hapa kwetu.
 
Anamtelekeza Mbowe yeye akiwa ulaya, na yeye akirudi akishikwa atakosa utetezi maana sasa hakuna namna kumtelekeza Mwenyekiti wa Chama Taifa.
Hako kajamaa kalafa sana, kanabwekea mbali utafikiri ka mbwa koko, kanabweka wakati kameficha mkia nchonyoni. Kenyewe wanakula bata mamtoni na kushikishwa ukuta na akina rob amster, wakati huo huo kakihamasisha kumtelekeza mwenyekiti wake.
Ngoja siku katakapotia mguu back!
 
Back
Top Bottom