Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Alibanwa na wasiojulikana na akatoboa
Hana lolote! Nchi yenyewe Ubelgiji. Ataishia kusaidiwa na vyama vya homosexuals tu! Hiyo siyo nchi ya kumpa ajira hata siku moja.
 
Sasa risasi zote za nini? hao maHomo si Makonda aliwakomalia mbona mulimpiga biti
 
Ukiwa na akili kama za lissu ujijue kwamba una matatizo makubwa sana hata watoto wako wanakushangaa hapo lissu hata mkewake anamshangaa ni mtu wa aina gani aliolewa naye hana akili yaani akili zake za kuvukia barabara tu asigongwe yaani hapo anafurahi anasikilizia kitatangazwa nini yaani ukishatolewa marinda kama lissu akili inahamia huko
 
Kuna Ugonjwa mmoja wa Kudumu ambao huingia kwa Binadamu kwa njia ya Utamu Sukari ukikupata ( ukiwa nao ) tu hakikisha huu wa Kichina haukupigii hodi na Wenyewe kwani yakiunganika Mwilini mwako Tanzania itaomboleza Siku 14 huku Bendera zote zikipepea Nusu Mlingoti.
 
Ka Jiwe kakija kuamka mtakakoma! Kanasema kameponyeshwa na Nyungu hivyo Watanzania lazima wapige Nyungu ya uhakika!
 
Ukiwa na akili kama za lissu ujijue kwamba una matatizo makubwa sana hata watoto wako wanakushangaa hapo lissu hata mkewake anamshangaa ni mtu wa aina gani aliolewa naye hana akili yaani akili zake za kuvukia barabara tu asigongwe yaani hapo anafurahi anasikilizia kitatangazwa nini yaani ukishatolewa marinda kama lissu akili inahamia huko
Halafu mkapiga risasi mtu asiye na akili? Mna mafuvu yaliopooza sana
 
Back
Top Bottom