Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

"In bloodshed and despair I swear. Oh God curse me".
 
Kisa kakosa urais
Ameeleza sababu kwanini hatua zichukuliwe, hiyo sababu no ya kwako. By the way, Lisu alishinda na wewe unajua fika kuwa alishinda had it not been for the illegal ballot casted pre voting in favour of Magufuli.
 
Mkuu,

Consultant,

This guy @TunduALissu must be mentally lamed, he has inadvertently to risk exposing the true colors which effect shall prevail for a generation to come. .
His opinion just differs from yours. It is definitely not a case of being ‘mentally lamed’
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
Watu wengine buana; ni taabu sana. Mada inahusu mengine na wengine wanaibuka na mengine tofauti kabisa. Basi Etwege nenda wewe ukaapishwe. Hakuna mtu anayekuzuia. Safari njema. Au unatutoa kwenye reli makusudi tusijadili mbinyo?
 
Targetted vikwazo ni nzuri.

Magufuli labda ana mali alizopiga huko nyuma. Kumbuka huyu alikuwa senior minister kwa miaka mingi tu na sio clean 100%. Travel ban unaweza kupigwa wewe na ukoo wako wote
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa ukoo wa Magu wasiposafirii ndio viroba vyao vya unga vinapungua?

Ujinga tu
 
Off point. We are discussing the impact of the social and economic ban to our "honorable" leaders. You look misguided and low thinking individual.
 
Yeye anajua hana hasara yoyote mkuu hakuna mwana siasa mwenye uchungu na wewe wote wanajali shibe zao.
Ndiyo maana mko tayari kuua watu mradi mbaki madarakani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na wewe! Sasa mbona huwa unamshabikia sana Lisu kama vile akiwa rais utakuwa unakula bure?
 
Hrla zitakazotaifishwa zitumike kuajiri walimu ìli kuongeza ubora wa elimu nchini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na wewe! Sasa mbona huwa unamshabikia sana Lisu kama vile akiwa rais utakuwa unakula bure?
We need fairness and justice on elections.
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Matibabu ataenda muhimbili?
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Wazuie misaada, halafu tuone kujiamini kwake kunafika wapi
 
There was no justice during the 2020 elections and the boy who studied in Ilbouru and Galanos has a point. That’s why he has supporters.
Mkuu,

Reading between the lines depending on the trust you have put on him, the fox is diminishing in the thin air, frankly speaking mark my words the debut shall cause soar to the rest of your life. The boy bounced filing the case at The Hague on human rights abuses for lack of merits resorting to the dark chess probability that he shall not make it.
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
Uchaguzi umekwisha. Hakuna maandamano yanayotakiwa. Tupo tunajenga nchi
 
yaani wewe dada kumuita MH TUNDU ''ka'' hivi unajiona uko sawa nae! huyo mumeo tu anamheshimu sembuse wewe hata shombo la nyonyo ya mamio haijakutoka uacha mazeleu kwa watu waliokuzidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…