Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Mkuu,Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
WameshaapaHalima mdee ingieni bungeni muibadirishe hii CDM ya mitandaoni tumeichoka
Your anonymous whinge won't reverse the wind-mill courseLeo ninasema hapa: vikwazo vyovyote vile ambavyo havitaifanya hii serikali ikose misaada na haki ya kukopa fedha kwenye benki za nje kamwe havitabadilisha chochote.
Hizo hatua zisipochukuliwa nchi hii tusahau kuona uchaguzi wowote ukifanyika ktk nchi hii.
This country will remain a constitutionally multi party state but a de facto one party state because under the present ruler there will simply be no elections at all.
Hili jitu kumbe hata akili halina.Leo anaongea hili kesho lile. Wenzake huku wanaingia bungeni yeye habari hana.... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Huyo hana akiri kwa sasa, Amsterdam amemshikia kila kitu.Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
Huyo hana akiri kwa sasa, Amsterdam amemshikia kila kitu.Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
MAgufuli atawekewa vikwazo gani vya kiuchumi wakati hafanyi biashara, au na wewe unawaza kwa kutumia makalio?Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
Changieni kuhisu wanawake kuapa leo.Mungu mbariki Tundu Lissu
Si bora kukosa uraisi eti kaweka kabisa na ushahidi ambao ni mchoro wa katuni [emoji23][emoji23]Kisa kakosa urais
Ajiunge na act wakati nao ACT wameungana na CCM huko Zanzibar?Kama kweli CDM imeamua kupeleka wabunge wa viti maalum aelewe ivyo vita ni vya peke yake kwa upande wa chama au ajiunge ACT wazalendo na wenyewe hawapo mbali kuchukua nafasi ya makamu wa kwanza huko Zanzibar.
Soon atajikuta anaonekana kama mwe.... iwapo kweli CDM imepeleka wabunge wa viti maalum.
Wivu mbaya sana. Muambieni chadema wameingia bungeni.Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
Sasa wewe ndo huna akili timamu hata kidogo, utarudi kuangalia utopolo ulioandika au utaanza kumshangilia Mbowe kwa kula nyama ya ng'ombe wake aloibiwa? Nyumbu hovyo kabisa.Hivi wewe una akili timamu? Unafahamu kilichotokea na kinachoendelea? Ikiwa chama kimeshatowa tamko la kutoitambua serikali iliyo madarakani, itakuwaje tena watowe wabunge katika chama chao waende kufanya kazi na serikali ambayo hawaitambui? huoni conflict yeyote hapo? Hivi inakuingia akilini kuwa mtu unaeamini amekuibia ngombe wako anakualika shuhuli ukale na wewe unakwenda kwa sababu ya mlo tu ingawa unajua kitoweo ni ngombe wako aloibiwa?
Amka wewe!!!!
Hamjielewi nyumbu Sasa ndo mnaelewa kitu gani? Mwenye saccos Yake kaamua kupeleka wabunge nyumbu endeleeni kurukaruka.Hujui kitu
Hamjielewi nyumbu, halima mdee yuko wapi Sasa? Njaa mbaya maana Hadi Lissu kafata beberu lake ughaibuni!si mmemuweka Mzee wa kufufua misukule bado hamjaridhika na yeye, Halima wa nini tena!! Yale ma kura yaliyokuwa yanazagaa mtaani yaliyotikiwa vema yanatosha kuwaona nyie ni wanyanganyi wa haki.
Mwacheni Halima hana muda wa kubariki dhurma na unyanyasaji wa binadamu.
Huyu mpuuzi bado mnahangaika naye,eti mtoa maada anasema sasa hivi afadhali kwa kuwa jpm atapigwa travel bann,utasubiri sana,mwambieni huyo lissu arudi aunge Juhudi za mheshimiwa rais,hivi huyu bwana ana cheo gani huko EU hadi awe anatoa matamko ya kijinga hivi?Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
Nafikiri Lissu anadhani Magufuli ni mwanasiasa wa dizaini zao. Maana kwa hawa wanasiasa wa dizaini za Lissu kuwa rais bila kuwa na asset nje ya nchi au kusafiri nje ya nchi (hasa Ulaya na Marekani) unakuwa hujawa rais sawasawa.... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Kweli unampenda BWANA WAKOYuko sahihi kabisa.